Nina miaka 38 - Uamuzi wa Kuoa sasa hivi sina...!

Wewe ni kijana mdogo sana ..jitahidi ufike angalau 50 ndio ufikirie kuoa asee...!
kosa kubwa sana kuoa ukifikisha 50 kwa mwanamke
lazima upate mwanamke wa miaka 25 hadi 28 maana zaidi ya hapo hakamati mtoto
pia 50 - 60 yrs ni bahati kumtosheleza mwanamke, atagongewa sana
na km mtoto hataweza msomesha Sekondari ndio watoto wanaingia mitaani
Mama pia ataingia mitaani kutafuta mkuyati
mshauri aoe hata kesho mbona wamejaa km akimuamia Mama yake FUSO huko kwao wamejaa wa FORM4
 
Lol, it a was a mockery phrase, I was not serious!
 
Nina miaka 38 sasa, wazazi wananiambia nioe, watu wa karibu na familia wananitaka nioe pia, lakini naona maisha bado sana aisee - nahitaji kuwa free !! Maisha ya kubanana banana mimi siyawezi kwa sasa, I still need my space...!!

View attachment 1130492

Mko wengi mwenzako anakuna nazi
SAM_2896~2.JPG
 
Wanaume wanaojua kurosti hivyo jua huwa hawaoi .
Tena unajua kuwasha hadi mkaa!?
Nasikia husipooa huwi na maendeleo.

Sasa sijajua aina ipi ya maendeleo ambayo mtu anaikosa.

Na sijajua kama mtazamo huu upo Tanzania tu au hata nchi nyingine za Afrika.

Ebu tusaidiane hapo
 
Nina miaka 38 sasa, wazazi wananiambia nioe, watu wa karibu na familia wananitaka nioe pia, lakini naona maisha bado sana aisee - nahitaji kuwa free !! Maisha ya kubanana banana mimi siyawezi kwa sasa, I still need my space...!!

View attachment 1130492

Haya maneno, unawaambia tu. Bila woga, wakikazana, waambie basi, uoe lakin mke akae kwa hao wanaotaka uoe.

Ila sababu yako, kwa mtu asiefikiria mbali, au anaefikiria mbali zaid, atakuona, Haina Mashiko.
 
Safi mkuu, uamuzi wa kuoa ni wa mtu binafsi....miaka si kigezo pekee cha mtu kuoa ama kuolewa !! mimi bado saana tu.
 
Usijali, bro. Ukifikia maturity utaoa tu.. Now, kula life

Life begin at 40 ,remember.
 
Nasikia husipooa huwi na maendeleo.

Sasa sijajua aina ipi ya maendeleo ambayo mtu anaikosa.

Na sijajua kama mtazamo huu upo Tanzania tu au hata nchi nyingine za Afrika.

Ebu tusaidiane hapo
Maendeleo ya kiwanda cha kuzalisha watoto mkuu.
 
Kama uamuzi wako ni kwa sabab unajua kupika supu ya kuku tu. Kwenye ndoa kuna zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom