Nina miaka 38 - Uamuzi wa Kuoa sasa hivi sina...!

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,609
37,806
Nina miaka 38 sasa, wazazi wananiambia nioe, watu wa karibu na familia wananitaka nioe pia, lakini naona maisha bado sana aisee - nahitaji kuwa free !! Maisha ya kubanana banana mimi siyawezi kwa sasa, I still need my space...!!



1130492



 
akina mama au wasichana wako vizuri kwenye bajeti ya chakula kwa asilimia kubwa ukimwambia mwanaume aende kununua msosi itakuwa ghali zaidi kuliko akienda mama au msichana
kwahiyo kwa asilimia fulani kuna umuhimu wa ndoa na mambo mengine madogo
 
Kwanza huwa hata wakioa sokoni wanaenda wenyewe maana ukienda wewe hautachagua vitu vizuri.
Wanajua kuchagua vitu acha kabisa.
Wanaume wa aina hiyo wengi wao wanakuwa na gubu yaani ukipika chakula haishi kukosoa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom