Nina mchumba nataka kumuoa, lakini ana mtoto wa miezi 6 je nitaruhusiwa kufanya naye mapenzi?

Acha udhaifu wewe dogo, mwanamke mwenyewe ameshakusaliti halafu we bado unampenda!!!

Baba mtoto yupo wapi?.... tuanzie hapo kwanza
 
Ndoa haziko hvyo braza. Unaeza kuja kujuta baadae. Kama inawezekana acha aolewe na aliyempa ujauzito
 
Back
Top Bottom