Nina mchongo wa hela...Ukifanywa vizuri pesa ni ya uhakika !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mchongo wa hela...Ukifanywa vizuri pesa ni ya uhakika !!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Senior Boss, Jan 31, 2012.

 1. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Hello JF,Kulingana na hali ya uchumi na maisha kua magumu sana hapa nchini kwetu...nilikuwa nafkiria kitu kama kufanya biashara ya ku export tobacco (cigarettes) from Tanzania to Europe (UK, Spain etc.) or oceanic countries like Australia. kwan kule tax incidence ya cigarettes ni kubwa sana.....unakuta sigara moja huuzwa mpaka Tsh. 1200 ukilinganisha na huku TZ ni Tsh. 100. Iwapo mtu akaweza ku smuggle (kununua from a low tax area and sell to a high tax area) walau packet 20 za sigara ataweza pata faida maradufu. wadau sijui kama mnanipata?? Nilichokua nauliza is this idea very possible or not ?? Hii kitu kama ikifanywa effectively kipato cha weza kufikia mpk $ 2500 kwa siku. Tobacco is a highly demanded and an addictive product. Istoshe tobacco is very legal. Serikali inatengeneza pesa nyingi sana from Tobacco. Wadau huu mwaka wetu tufanye mambo ya uhakika. Nahitaji mchango na comments zenu. Refer to tha case below.Cigarette Smuggling Still Booming
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwani kuzituma nje ni haramu? why is it smuggling then?
   
 3. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280

  Serikali yao cio wajinga ku impose high taxes...wana punguza effects zake na ku increase benefits katika jamii yao !!! wao wanavyanzo vingi vya income cio kama tz tunategemea breweries, tcc etc. So mtu from nowhere ukiuza kwa bei nafuu than what they recommend wakikushtukia lazima wakufanyie !!! watakuuliza zimeingiaje kwao na hazija sajiliwa. ku import kule cio haramu bali watakucharge high taxes....uki smuggle una kwepa ushuru for high profits.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  how do you convince someone who wants to inject his cash into this claimed to be lucrative business

  i smell that all my cash will be swallowed instead of profitable returns as your proposed exportation process is an illegal one
   
 5. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280

  kuna usemi usemwao that "CRIME PAYS".....aliyekwambia utaanza na mtaji mkubwa nani?? waweza anza na packet 5 mfano Tsh. 10,000......issue ikinoga unaongeza mdogo mdogo !!!! na lazima ujiwekee mazingara flan hata kama issue ikinuka....hukamatwi.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  haaa haaa haaaa

  wakikuachia ikinoga wakijifanya hawajui mpaka ufikie mtaji wa US$ 200,000 , halafu waka comfiscate, itabidi urudi kufungua kibanda cha chips

  anyways, my input is just a challenge to your "deal"
   
 7. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280

  kaka acha tu....ndoto za uhalifu sababu ya shida na umasikini.....unakuta mtu ameridhika amechill tu ha minyi ubongo....anakula bata tu alaf mezani anataka menu....ila naamini one day YES !!!! kila aliyefanikiwa ana story yenye uchungu !!!! Unafkiri ku push range rover sports kitaani mchezo??
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unataka kusema kwamba hata Warren Buffet ( ref. avatar yako) aliwahi kupitia njia hii haramu ya kukwepa kodi?
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  inpiring, kwani ukiumiza kichwa namna hii, ukikutana na clean business naamini you will fly high

  this one resembles like yours but its done legally, kuna jamaa anunua roasted coffee anasafirisha na kuiingiza china mainland and Hongkong (export), halafu anaigrind (saga) na ku pack kwenye packaging zenye brand ya kichina, anapiga pesa balaa, kahawa ananunua kwa wakulima na anaigrade halafu anaikaanga kwenye mashine za kukodi, maybe one can do it in any african country or europe
   
 10. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  JF kuna mambo kweli. Yaani utapeli. Utapeli. Utapeli. Wizi mtupu.
   
 11. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  watu wa namna hiyo ndo tunawahitaji JF cio waongea pumba mda wote. Unajua mpango mzima ni kuzikomoa sheria cio kuzivunja. unajua mi naamini maujanja yako mengi sana tu ni mtu kushtukia issue......hapa bongo mi naona tunacheza sana, ndugu yangu nchi za watu (europe,usa etc) opportunuty za hela zimezibwa kila corner pesa hakuna....ndo maana watu wakija africa wanachota hela na viroba...ukipata network ya marafiki kama 20 hvi, i mean extremely potential people wanaojua kufikiria....mki unite mnaweza fanya vitu vya hatari sana. Watz nashauri tubadilike cio siri.....blaming tha government haisaidii kabsa, it will NEVER get any better !!!
   
 12. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  we warren buffet unamjua vizuri?? unafkiri ataanika password yake hadharani ??? alaf umwagie vitumbua vyake mchanga !!! watu wana hustle kiukweli unafanya mchezo nn?? hela inatafutwa cio kitoto..... soma vitabu vyake utajua baadhi ya visiri vyake kwenye biashara zake....ackudanganye mtu huku JF kuna matajiri kibao...mbona hawamwagi idea na strategy zao humu....??? JF imejaa umbeya na unafki tu hamna lolote. mafanikio yako mikononi mwako siku zote !!!! kaa chini fikiria kisha tenda ukijua nn unafanya !!!!
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  High Tax means wao Government ndio at the end watakaochukua iyo kodi.
  Yaani haiwi tu bei inakuzwa ili kupunguza Uvutaji halafu ukuzwaji huo unaachwa wote uwe faida kwa muuzaji.
  So kifupi waweza kuta hata huko pia Govt wakichukua chao (kodi) unabaki na ile ile Tshs 100 ya jamaa yangu mmoja humu figganigga
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  sijui tutabadilika lini, naona giza litaendelea kwa masaa 19 kati ya 24 kwenye business community yetu, hakuna creativity, uthubutu, wengi wetu ni wabinafsi
   
 15. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  kakudanganya nani?? hizo taxes zina discourage pande zote mbili.....muuzaji binafsi na mnunuaji. mwishowe hiyo sector itabaki mikononi mwa serikali yao. Inaonyesha concept hujaipata vizuri au hujui sera za taxes na biashara zinavyoendeshwa kwa ujumla...kaa chini shika kitabu au tembelea link nliyotoa hapo awali.
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Wewe ndugu hueleweki kabisa upo upande upi. Kama ndio style hiyo unavyotaka kufanya biashara utapate faida??
  Yaani we plani yako ipoje kama unajua hata kule kua unakwenda kulipa kodi kubwa
   
 17. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  ???? Poa kama vp poteza....wanaonielewa watachangia. Thanx 4 ur comment anyway.
   
 18. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah! nimekurupuka nikadhani mkulima leo nimepata dili! kumbe mambo ya wizi wa kupasua vichaka mipakani, haya mi narudi chini ya mti kusibiri lifuatalo.
   
 19. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  i am ready to risk pkt 5 za fegi kama kuna mtu wa mbele aliye tayari ili nimtumie...
  ...masharti----awe na account ya paypal
  ---nitatuma kwa EMS

  aniPM
   
 20. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Unataka kunambia mm ndo nkutafutie wateja?? ur not serious bro...hapa tuna xchange ideas tu....utekelezaji ni juu yako.
   
Loading...