Nina maumivu ya kifua

kalanga1

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
271
500
Habarini wapendwa,

Naombeni msaada,

Ni takribani miezi miwili sasa nasikia maumivu katikati ya kifua changu, yaani sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana sjui ni nini hasa, inanitokea nikiwa nainama au nimejikunja au nikiwa nanyanyuka wakati mwingine nikiwa nimekaa tuu inatokea panauma.Panauma kwa ndani, nimeshaenda hospitali nimepewa dawa ila imerudia tena.

Naombeni msaada plz sina raha
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,749
2,000
Nenda hosp kachek tena, zungumza na daktar wako vizuri.
acha kutafuta madaktari mitandaoni... haikugharimu hata elf thelathini pamoja na vipimo...
thank me later
 

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,599
2,000
Pole sana, huyo daktari alikupa dawa bila kukupima? Bora uwahi kufanya vipimo vikubwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom