Nina Masters ya Development Management, uzoefu wa Monitoring and Evaluation, natafuta Internship

Lkn Deo mbn km unatutania about this?? Una tatzo gn na umri wako wapi umetudanganya??
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-24-21-57-20.png
    Screenshot_2017-04-24-21-57-20.png
    54.2 KB · Views: 45
Yes. Mongula alinifundisha. Market, State and Society..

Na Project Appraisal
Idea ya Project Appraisal inaweza kukusaidia.
Fikiria biashara nyingine mdau,ambayo kwa awam hii ya 5 wateja wataidemand.Let say chakula.
Unaweza ukafikiria biashara ya nafaka.
Shida inakuja hizi kazi ni kwa NGOs na hasa za kimataifa ndo zinalipa sana.
Pia angalia kaz nje ta Bongo,like Malawi,Zambia,Congo,South Sudan,Kenya huko ndo kuna kazi nyingi sana.Ila pia mfate yule mzee ana fursa,au Prof Ngware
 
Mkuu una uzoefu alaf una tafuta internship? Umepata vipi uzoef kabla ya internship?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ushauri mzuri... Though kwa Social Sciences kule juu hasa Sociology inakuja around 7.5 mln
Okay, sikua najua
7.5 program nzima?Ila sasa Sociology nao wanazingua sana tangu undergraduates wale lecturers wa ile idara wanazingua sana,na raha ya PhD usomeshwe bhana na sponsors,ila now ni KUSAKA HELA,KUSOMA WAACHIE ACDEMICIANS,
PhD haina issue kiviile bongo,Masters bado elim nzuri kwa Tanzania.
 
Yes. Mongula alinifundisha. Market, State and Society..

Na Project Appraisal
Umefanya risech kwenye area ipi?I mean mfate supervisor wako alokusimamia nae pia anaweza kukupa mwongozo na mambo yakaenda,me aupervisor wangu hadi leo nikienda ananisaidia kulingana na maisha ya kitaa
 
Habar za PhD mzee mzima achana nazo kabisa.Umeshatumia almost mil 10 kusoma M.A sasa ifanyie kazi hiyo elimu na itapata hela.Ila kama unataka kuwa kama Mwaky3mb3 haya kasome PhD ambapo itakutoka mil 12 kwa IDS

Sasa kazi amna ni kusoma tu mpaka tudate.
 
Wakuu Salama!...

Mimi ni kijana wa miaka 29. Nina Masters degree na uzoefu wa miaka 4 katika Monitoring and Evaluation. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, kupungua kwa kazi za consultancy, hali ya biashara kuwa ngumu mitaani, natumia fursa hii kuomba Internship katika mambo ya Monitoring & Evaluation or Research katika shirika lolote lile (NGO, CSO, Consultancy firms nk)..

Asanteni sana
...Tuwasiliane PM
 
Nimelima Ruvu, Bagamoyo. Nilianzisha biashara zangu 3 enzi hizo mara baada ya contract ya ajiya ya kwanza kuisha... Katika awamu hii zote zimekufa ndio maana nimeamua kurudi katika ajira through Intenship
awamu huu inahusiana nini na kufa kwa biashara zako??
 
Mnapoteza mda kusoma masters badala ya kupambana na life life mtaa, sasa masters utafanyaje internship? Mhhh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sasa kazi amna ni kusoma tu mpaka tudate.
Kama unasoma hasa kwa bongo means una hela,
Hiyo hela waweza iwekeza ukazalisha.
Ila kama unapata skolaship nje hasa Ulaya na Amerika nenda maana utapata senti na kusukuma mambo.Ila usiende South East or Far East,hela yao y mawazo,utarud umepauka hapa na cheti chako kikawa useless vilevile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom