Nina Masters ya Development Management, uzoefu wa Monitoring and Evaluation, natafuta Internship

Deo Shy

Member
Oct 18, 2016
98
300
Wakuu Salama!...

Mimi ni kijana wa miaka 29. Nina Masters degree na uzoefu wa miaka 4 katika Monitoring and Evaluation. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, kupungua kwa kazi za consultancy, hali ya biashara kuwa ngumu mitaani, natumia fursa hii kuomba Internship katika mambo ya Monitoring & Evaluation or Research katika shirika lolote lile (NGO, CSO, Consultancy firms nk)..

Asanteni sana
 
Ingia zoomtanzania jobs kuna NGO nyingi wametangaza nafasi zenu deadline ni kuanzia tarehe 26-1 may kila la kheri dogo
 
Wakuu Salama!...

Mimi ni kijana wa miaka 29. Nina Masters degree na uzoefu wa miaka 4 katika Monitoring and Evaluation. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, kupungua kwa kazi za consultancy, hali ya biashara kuwa ngumu mitaani, natumia fursa hii kuomba Internship katika mambo ya Monitoring & Evaluation or Research katika shirika lolote lile (NGO, CSO, Consultancy firms nk)..

Asanteni sana
Tafuta shamba la eka 5 anzisha kilimo cha matikitiki na ufanye management ya shamba lako - UTAFANIKIWA
 
Nimelima Ruvu, Bagamoyo. Nilianzisha biashara zangu 3 enzi hizo mara baada ya contract ya ajiya ya kwanza kuisha... Katika awamu hii zote zimekufa ndio maana nimeamua kurudi katika ajira through Intenship
 
Watu fani yako mtasubiri sana katika awamu hii,miradi yote imekufa na miradi mingi inasimamiwa na serikali yenyewe,Mkuu nakushauri katika awamu hii ni bora uwende veta short cource ukasomee hata mv utatoka (Ni ushauri kama utaupenda)
 
Sawa. Nitafanya hivyo Mkuu. Ubarikiwe kwa ushauri wako
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama umefundishwa na Prof Mongula mfate personal akuelekeze namna ya kuanzisha NGO nawe uweze kuajiri wenzio.Kila la kheri mzee wa Dev Mgt.
Yes. Mongula alinifundisha. Market, State and Society..

Na Project Appraisal
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habar za PhD mzee mzima achana nazo kabisa.Umeshatumia almost mil 10 kusoma M.A sasa ifanyie kazi hiyo elimu na itapata hela.Ila kama unataka kuwa kama Mwaky3mb3 haya kasome PhD ambapo itakutoka mil 12 kwa IDS
Ushauri mzuri... Though kwa Social Sciences kule juu hasa Sociology inakuja around 7.5 mln
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom