IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Kiukweli napata shida sana kuelewa...
1.kwann tusiendeleze vyanzo vya umeme tunaotumia sasa hivi ?
2.Rais ajae tuna uhakika gan km ataendelea na mradi huu ? Unakumbuka mradi wa gesi mtwara tuliambiwa unamaliza shida ya umeme?
Lakini Rais wa sasa ameanzisha mradi mpya kabisa na gesi ameachana nao.
Tunapoteza pesa nyingi kwa miradi mipya wakati gesi ipo na ilishapatikana
Natamani kuandika sana hisia zangu ila sio mwandishi mzuri....wasomi mnatuchanganya sana.
Kila muhula tunaanza upya