Nina mashaka na huyu mwanaume

Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana hela(sina tabia ya kumuomba hela)amekuwa na tabia ya kunililia shida kila siku,kosa akiona hela nyingi kwenye pochi lazima aombe, niliwahi kuzungumza nae kuhusu tabia yake na future yetu akadai ana majukumu huko kwao ndo maana hela yake haikai. Ana mpango wa kwenda kutoa posa mwaka kesho,naombeni ushauri wenu jamani niko njia panda, huyu mtu akinioa ataihudumia familiar ipasavyo kweli? Tatizo lake jingine sio mpambanaji kabisa, hata ukimuomba ushauri wa jambo la kujenga majibu yake ni zero,naombeni ushauri wenu jamani huyu mwanaume kweli atanifaa iwapo tutaingia nae kwenye ndoa?
Mteme mapema janga hilo, usisubiri mpaka yakukute
 
Huyo kapenda pochi yako tu, atakufuja.

Hapo hajaenda kutoa posa anakubambikizia majukumu, akikuoa si ndio atakuachia kila kitu?

Kwa hiyo hayo majukumu ya familia yao wewe ndio wakuyatafutia suluhisho?
Haswaaaaa.... Umekandamizia vizuri.
 
Kila mtu anaudhaifu wake, establish basic points za ili akuoe, ukiona hana achana nae, punguza lawama
 
Mbona nyie huwa mnaomba au mwanaume hatakiwi kuomba? Mkiomba nyie hamna shida akiomba mwanaume amekuwa omba omba
Mpaka analalamika kwenye JF ujue tabia imekuwa inajirudia. Shida wanaume wengi hasa vijana wamekuwa msingi kiuno au mwanaume mashine. Mwanaume lazima ujiongeze bwana.
 
Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana hela(sina tabia ya kumuomba hela)amekuwa na tabia ya kunililia shida kila siku,kosa akiona hela nyingi kwenye pochi lazima aombe, niliwahi kuzungumza nae kuhusu tabia yake na future yetu akadai ana majukumu huko kwao ndo maana hela yake haikai. Ana mpango wa kwenda kutoa posa mwaka kesho,naombeni ushauri wenu jamani niko njia panda, huyu mtu akinioa ataihudumia familiar ipasavyo kweli? Tatizo lake jingine sio mpambanaji kabisa, hata ukimuomba ushauri wa jambo la kujenga majibu yake ni zero,naombeni ushauri wenu jamani huyu mwanaume kweli atanifaa iwapo tutaingia nae kwenye ndoa?
Penye miti hakuna wajenzi, natafuta mke km huyo mimi, kifupi hujachelewa njoo kwangu nina miaka 30yrs net km uko chini ya hapo au juu kidogo isizidi 35yrs nione in bix hapo nimekupa wazi bila kumungunya maneno!
 
Km unampenda jitaidi uelewe matumizi yake yoote, ukifankiwa kumshaul mbinu ya kuhandle na majukumu mengine bas baki nae tu No body is Perfect 💯
 
Mbona asilimia kubwa ya wanawake ndo wanaomba Sana pesa kwa wapenzi wao WA kiume ss huyo tumemtuma atiwakilishe mnachotufanyia ili na nyie muone km sahihi au LA hvyo tulia dawa ikuingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana hela(sina tabia ya kumuomba hela)amekuwa na tabia ya kunililia shida kila siku,kosa akiona hela nyingi kwenye pochi lazima aombe, niliwahi kuzungumza nae kuhusu tabia yake na future yetu akadai ana majukumu huko kwao ndo maana hela yake haikai. Ana mpango wa kwenda kutoa posa mwaka kesho,naombeni ushauri wenu jamani niko njia panda, huyu mtu akinioa ataihudumia familiar ipasavyo kweli? Tatizo lake jingine sio mpambanaji kabisa, hata ukimuomba ushauri wa jambo la kujenga majibu yake ni zero,naombeni ushauri wenu jamani huyu mwanaume kweli atanifaa iwapo tutaingia nae kwenye ndoa?
Wanaume halisi tupo mikoani sasa wewe unadate na dume la kibashite unategemea nini,umepanda upupu utavuna upupu
 
Back
Top Bottom