Nina mashaka na hukumu hii. Naombeni msaada wa kisheria

mchezo mbaya

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
242
235
Nilivunjiwa nyumba usiku na kuibiwa vitu vyenye thamani ya zaidi ya TShs 3,500,000/= mashahidi wanne walitoa ushahidi was kumshuhudia mtuhumiwa akiiba. Hakimu was mahakama ile ya mwanzo alimtia hatiani mtuhumiwa. Cha kushangaza alipewa adhabu ya kifungo cha miezi 12 au faini ya TShs 500,000|=. Je, no sheria IPI imetumika hapo?.
 
Alitumia Sheria ya Mahakama (Mwanzo, Wilaya na Hakimu mkazi) kwan kwa mujibu wa Sheria hii mahakama ya Mwanzo haina uwezo wa kuhukumu zaidi ya miezi 12.

Lakini mtuhumiwa alitenda kosa chini ya Sheria ya Adhabu.
Sheria ya Adhabu (Sura 16).jpeg
Sheria ya Mahakama (Sura 11).jpeg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom