Shahidi ambaye alisubiriwa kwa hamu kubwa ili kuujua ukweli ni huyu Lut Denis Urio. Sasa Shahidi wake wote mpaka sasa unathibitisha kuwa hakuna mahali popote Mbowe na walinzi wake walipanga ugaidi. Hakuna picha, hakuna video, hakuna voice notes na hakuna hata sms kuthibitisha kuwa kweli walikutana na Mbowe kupanga ugaidi.

Amekiri kwa kinywa chake kuwa aliwatafuta wale makomandoo waliofukuzwa kazi wakafanye kazi ya Ulinzi na siyo uhalifu na kuwaomba kuwa kukiwa na uhalifu wamwambie kitu ambacho hakikutokea, amethibitisha kuwa walitumiwa nauli kwenda kufanya ulinzi na siyo uhalifu, akasema kua angewaambia kua wanaenda kufanya uhalifu wangekataa kwa sababu wana viapo, maana yake walipofika kwa Mbowe wakaacha viapo vyao wakakubali kufanya uhalifu bila kumjuza🤣🤣.

Kwa maana hiyo mpaka sasa kina Adamoo na wenzake ni Innocent maana hawakufanya uhalifu na wangekataa ikiwa kungekuwa na uhalifu, maana hata Lut Urio amekiri kwa mdomo wake kuwa wasingekuwa tayari kufanya uhalifu kwa sababu ya viapo vyao. Iweje leo waitwe magaidi? Asante sana Lut Urio imerahisisha kazi.

Hivi kweli DCI na timu yake wameambiwa kuna mipango ya ugaidi badala ya kumtuma Urio amrekodi Mbowe akimpa maelekezo ya kutekeleza ugaidi au ampige hata picha basi, yaani hadi wamtume akawashawishi kina Adamoo waende kwa Mbowe akiwadanganya ni ni kazi ya ulinzi kumbe ni ugaidi? Sasa kwa mantiki hii Polisi walizuia uhalifu au walichochea? Walishindwa nini kumkamata Mbowe kabla hata ya makomandoo hao kwenda Moshi?

Nasema asante sana Lut Urio kwa kuwasafisha Mbowe na wenzake. Sasa tumepata uelekeo wa kesi.

Eti Mama aombwe msamaha Gaidi Mbowe asamehewe, kwa lipi?
😂😂😂😂
Unafki wa ACT Wazalendo wabaki nao majumbani mwao.CHADEMA si wanafki kama wao. Siyo waoga kama ACT.
 
Serikali imekosa aibu kabisa!!
Bi Mkora hapa katia aibu mno, kosa la kipumbavu walilofanya ni kumkamata kwanza Mbowe kisha kuanza kutunga kesi...

Sasa jamii ikiona upuuzi huu wa serikali inaona kumbe unaweza kumfanyia unyama mtu yeyote!

Ndio maana tunasikia mauaji kila kona kila kukicha.
 
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao.

2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa Serikali au yeye mwenyewe.

3. Amejalibu kutoa kauli za kumtetea Mbowe kuwa pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa za nauli kwaajili ya kuifikisha walinzi kwa Mbowe na sio za kununua vifaa au vya Ugaidi au malipo ya kufanya Ugaidi.

4. Hoja ya Mbowe kuajili makomando wanne tu kwaajili ya kukata miti NI kiloja kabisa. Kwamba iliitaji kuwa na makomando ndio wakate miti.

5. Je, makomando wanne wanawezaje kukata miti na kuchoma vituo vya mafuta tanzania nzima NI swali gumu kabisa kulielezea.

6. Je, mawakili wanaamini uchomaji vituo vya mafuta na kukata miti ungeweza kuvutia maandamano au kuwatia watu woga na kujifungia ndani? Kama vibomu vya machozi tu na milio ya riasasi watu hujifungia ndani milipuko ya vituo vingevutiaje watanzania kuandamana.

7. Tanzania Ina makomando wangapi? Makomando hao wanne wangesaidia vip Mbowe na elimi yake hao makomando wanne tu kusimamisha nchi isitawalike na kudhibiti makomando zaidi mia watiifu serikalinj.

8. Urio lazma aoneshe baada ya kile alichopanga baada ya kuchomà vituo NI vipi mbowe angepewa nchi na
sio Wanajeshi kuchukua nchi.

9. Je, urio hajaonesha chochote ambacho kinaonesha kuwa makomando wa Mbowe na yeye walivyojiratibu ualifu na ushaidi waliokuwa nao Kama vile kuambiwa siraha walizokuwa nazo.

10. Je, kwanini urio hakuchagua kusimama na makomando kwa kuweka nguvu kwao ya pesa na ata ajira serikalini upya ili waende kukusanya ushaidi wa ualifu na sio kuwaunganisha kwenye ualifu moja kwa moja.

11. urio alionesha walijuana na Mbowe tokea 2009. Iweje Sasa Mbowe akate mawasiliano nae tu Mara baada ya kjmuunganisha na makomando. Yani akaacha kumwamini na kuanza kuwaamini makomando alikkutana nao chini ya mwezi na kuwashirikisha kwenye mipango hatari.

Urio akija kesho mahakamani nishitueni. naona ushaidi wake unaegemea kumuondolea Mbowe shutuma.
Umejaribu kufanya analysis, seems there is great reasoning. Katika law ukisema Fulani ameniaibisha kwa kuniambia hivi mbele za watu, mahakama inaangalia je, katika society unaumoishi, je utakuwa umeaibishwa kweli? Kwa wahaya, Uhayani kwenu ukimsema mtu kuwa hujatahiri ni aibu? HAPANA. Lakini mwambao wa pwani na Musoma Ni aibu kubwa na tusi kumwambia mtu hujatahiriwa.
Nije kwenye issue ya andiko lako. Kwa society ya watanzania, na maisha Yao nanyania zao, ukionekana unakata miti, unapanga magogo, kweli watu wataandamana? Watanzania watakuona unatishia Amani na kuwaweka hofu na hivyo kuandamana? A BIG NO!

KAMA Jaji siyo wa MCHANGO,na Samia Mtume Mohamed (SAS) amtelemkie aondoe kutumia màdaraka yake kuinfluence mahakama, hii kesi imeishia na Urio!
 
Na wasipomleta ndio wanaaribu zaidi kuhusiana na uwepo wa hii kesi. Nadhani ameamua kusimamia anachokijua, ngoja tuone.
 
Mahakama zetu zinatenda haki, mmeona kwa Sabaya? Chadema na wasio chadema wote tumeona haki imetendwa na mahakama.
Sasa hiyo hiyo mahakama itatenda haki kwa kesi ya ugaidi. Hakuna haja ya kuingilia wa kuipangia kwamba mbowe ni gaidi au siyo gaidi.
 
Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?

Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?

Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Amekuwa harmonies
 
Mmmh,,Hivi ni Kweli watu wanatii viapo vyao????Dhambi ni Mbaya saaana.Ndio Maana weusi kuendelea tutasubiri Sana Kwa sababu ya dhambi.
Hivi viapo ni siku ya graduation tu. Wakishatoka pale ni work as usual
 
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao.

2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa Serikali au yeye mwenyewe.

3. Amejalibu kutoa kauli za kumtetea Mbowe kuwa pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa za nauli kwaajili ya kuifikisha walinzi kwa Mbowe na sio za kununua vifaa au vya Ugaidi au malipo ya kufanya Ugaidi.

4. Hoja ya Mbowe kuajili makomando wanne tu kwaajili ya kukata miti NI kiloja kabisa. Kwamba iliitaji kuwa na makomando ndio wakate miti.

5. Je, makomando wanne wanawezaje kukata miti na kuchoma vituo vya mafuta tanzania nzima NI swali gumu kabisa kulielezea.

6. Je, mawakili wanaamini uchomaji vituo vya mafuta na kukata miti ungeweza kuvutia maandamano au kuwatia watu woga na kujifungia ndani? Kama vibomu vya machozi tu na milio ya riasasi watu hujifungia ndani milipuko ya vituo vingevutiaje watanzania kuandamana.

7. Tanzania Ina makomando wangapi? Makomando hao wanne wangesaidia vip Mbowe na elimi yake hao makomando wanne tu kusimamisha nchi isitawalike na kudhibiti makomando zaidi mia watiifu serikalinj.

8. Urio lazma aoneshe baada ya kile alichopanga baada ya kuchomà vituo NI vipi mbowe angepewa nchi na
sio Wanajeshi kuchukua nchi.

9. Je, urio hajaonesha chochote ambacho kinaonesha kuwa makomando wa Mbowe na yeye walivyojiratibu ualifu na ushaidi waliokuwa nao Kama vile kuambiwa siraha walizokuwa nazo.

10. Je, kwanini urio hakuchagua kusimama na makomando kwa kuweka nguvu kwao ya pesa na ata ajira serikalini upya ili waende kukusanya ushaidi wa ualifu na sio kuwaunganisha kwenye ualifu moja kwa moja.

11. Urio alionesha walijuana na Mbowe tokea 2009. Iweje Sasa Mbowe akate mawasiliano nae tu Mara baada ya kjmuunganisha na makomando. Yani akaacha kumwamini na kuanza kuwaamini makomando alikkutana nao chini ya mwezi na kuwashirikisha kwenye mipango hatari.

Urio akija kesho mahakamani nishitueni. naona ushaidi wake unaegemea kumuondolea Mbowe shutuma.
Kubwa. Zaidi ni jinsi home boy alivyowaunga wale makomando wakafanye uhalifu haiingii akilini 😂😂😂😂mana yeye alipewa idea nakudai akatafuta watu wakafanye hiyo kazi sasa hao makomando kosa lao liko wapi? Na Kama asingewatafuta ina maana wasingekuwa na kosa lolote? Maswali ni mengi muda mchache ngoja tuone wataalamu wa sheria waje kufanya kazi yao ila kimsingi inamchafua mama kwenye juhudi zake njema zakukwamua taifa
 
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao.

2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa Serikali au yeye mwenyewe.

3. Amejalibu kutoa kauli za kumtetea Mbowe kuwa pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa za nauli kwaajili ya kuifikisha walinzi kwa Mbowe na sio za kununua vifaa au vya Ugaidi au malipo ya kufanya Ugaidi.

4. Hoja ya Mbowe kuajili makomando wanne tu kwaajili ya kukata miti NI kiloja kabisa. Kwamba iliitaji kuwa na makomando ndio wakate miti.

5. Je, makomando wanne wanawezaje kukata miti na kuchoma vituo vya mafuta tanzania nzima NI swali gumu kabisa kulielezea.

6. Je, mawakili wanaamini uchomaji vituo vya mafuta na kukata miti ungeweza kuvutia maandamano au kuwatia watu woga na kujifungia ndani? Kama vibomu vya machozi tu na milio ya riasasi watu hujifungia ndani milipuko ya vituo vingevutiaje watanzania kuandamana.

7. Tanzania Ina makomando wangapi? Makomando hao wanne wangesaidia vip Mbowe na elimi yake hao makomando wanne tu kusimamisha nchi isitawalike na kudhibiti makomando zaidi mia watiifu serikalinj.

8. Urio lazma aoneshe baada ya kile alichopanga baada ya kuchomà vituo NI vipi mbowe angepewa nchi na
sio Wanajeshi kuchukua nchi.

9. Je, urio hajaonesha chochote ambacho kinaonesha kuwa makomando wa Mbowe na yeye walivyojiratibu ualifu na ushaidi waliokuwa nao Kama vile kuambiwa siraha walizokuwa nazo.

10. Je, kwanini urio hakuchagua kusimama na makomando kwa kuweka nguvu kwao ya pesa na ata ajira serikalini upya ili waende kukusanya ushaidi wa ualifu na sio kuwaunganisha kwenye ualifu moja kwa moja.

11. Urio alionesha walijuana na Mbowe tokea 2009. Iweje Sasa Mbowe akate mawasiliano nae tu Mara baada ya kjmuunganisha na makomando. Yani akaacha kumwamini na kuanza kuwaamini makomando alikkutana nao chini ya mwezi na kuwashirikisha kwenye mipango hatari.
12. Kwanini wapelelezi walimuachia Urio jukumu la kutafuta watu wake mwenyewe na sio kumuandalia Kati ya hao watu makachero au kachero moja wapo ili akafanye Kazi na Mbowe ili wapate usibitisho kamili na usio na Shaka.
13. Kwa ushaidi wa Urio mtuhumiwa kamili alikuwa moja tu Mbowe. Hawa wengine NI watuhumiwa aliowafundisha uhalifu na kuwaingiza ni yeye.
14. Urio anakili pia kujua uadilifu wa watu alio mtafutia Mbowe afanye nao Kazi. Ndio maana akasema alijua wapo kwenye viapo na angewaambia kuhusu kufanya uhalifu wangekataa.
15. Urio pia anakili pia hao watu aliheshimiana nao na kujuana nao kitambo. Na aliwaalifu wakiona Kuna dalili ya uhalifu wamtaalifu. Akawakumbusha kuwa bado wapo kwenye kiapo. Hivyo yeye Kama kiongozi wao hakuwapanga kufanya ualifu. Je kwa mazingira hayo walithubutu vipi kuwa huru kumweleza moja kwa moja kuwa wanaenda kufanya uhalifu bila woga wowote Wala kuwashawishiwa kwake?.
16. Urio anasema hajui maana ya home boy.
17. Urio anaonesha pia kuaminiwa mwanzo na wapelelezi na kuachiwa kuratibu kilakitu. Lakini mwwishoni anaonesha kutoaminika Tena na kuombwa simu zake zichunguzwe. Maana Kama wangemuamini wasinge mnyanganya simu Bali waangemuomba namba zake za simu tu ili watafute ushaidi wanaoutaka. Kuchukua simu NI kutafuta ambayo hakuyasema.
18. Kwa kunyanganywa mawasiliano binafsi wakati yeye si muhalifu ilikuwa NI Kama kumtesa urio kisaikolkjia.
19. Urio anasema amejuana na Mbowe toka mwaka 2009. Toka wakati huo wote hajasema Mbowe kumshirikisha kwenye uhalifu wowote na kunachaguzi nyingi zimepita. Kwanini mwaka 2020 Tena Mbowe anashirikisha watu aliofahamina nao kwa siku chache mno. Chini ya siku 10.
20. Urio amejenga hoja tokea awali kuwa Mbowe aliitaji ukaribu na urio ili kupata mifumo ya ulinzi na kuwajua wanaoutaka kuhujumu chama kwa kutoa Siri.
Urio akija kesho mahakamani nishitueni. naona ushaidi wake unaegemea kumuondolea Mbowe shutuma.
Mi nahisi JWTZ wanaweza kuja kuzuia watu wasiingie mahakamani
 
Back
Top Bottom