Nina majuto sana moyoni natamani mtu aniongoze toba

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,560
Ndugu zangu nachoandika hapa si utani.

Nianze kwanza na kumwomba Mungu anisamehe najutia nilichokifanya leo si kwa mapenzi yangu bali ushawishi wa shetani.

Leo nimekula machangudoa wa Tandika.
Jamani nawasihi msiende uko nilichokutana nacho sikustahili kua mazingira yale.
 
Ndugu zangu nachoandika hapa si utani.

Nianze kwanza na kumwomba Mungu anisamehe najutia nilichokifanya leo si kwa mapenzi yangu bali ushawishi wa shetani.

Leo nimekula machangudoa wa Tandika.
Jamani nawasihi msiende uko nilichokutana nacho sikustahili kua mazingira yale.
Ulikutana na nini..? Hapo ndio mwanzo wa toba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kanisa lililo karibu nawe Yesu atakusamehe tu, kama umemaanisha maana Toba iko bure kabisa kwa wanaohitaji. Kabla mlango huo haujafungwa.
 
Sema hii dhambi sijui kama kuna mtu atapona na akipona pepo inamuhusu sema vitendo vya ubakaji hamna tena kila jambo linafaida na hasara uzuri ni kwamba wanawake wote wazuri ndio malaya yan anaweza kuwa anafanya directly au indirectly ila tambua serikali saivi haina pesa ya kinunua ARV naskia Tangazo clouds wakiomba watu kuchangia ni tangazo official kutoka ofisi yawaziri mkuu tutumie ndomu jamani
 
Back
Top Bottom