Nina mahusiano na mjomba wangu

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
839
1,000
Baada ya mapenzi kunipiga nimeamua kutembea na mjomba wangu ambaye ni binamu wa mama yangu. Ananiridhisha sana, ananipatia chochote ninachotaka, ananijali, yuko tayari hata kuzaa na mimi ila kwa sharti la kufanya siri. Naomba ushauri wenu kama ninakosea au vipi.

====

Updates kulingana na maoni ya wadau. Kwa baadhi kitendo hiki kimeonekana ni kibaya, na kwa baadhi imeonekana ni swala la kawaida na ambalo halina tatizo. Mimi nimeamua kuendelea na mahusiano kwani dhamiri hainisuti hata kidogo tena ukizingatia ananipenda ninampenda. Maisha ndio haya haya siwezi kuacha mahali pa furaha ya moyo wangu nikakimbilia mahali ambapo najua wazi nataabika.

So itoshe kusema asanteni wote mlioshiriki na mtakaoshiriki. Kwa uncle kipenzi naomba nikwambie tu "I love u and will be here to cherish our love" si unaona lakini hata mimi ninavyokujali.

1626082641090.png
 

INTERGRITY

JF-Expert Member
Jan 19, 2021
429
1,000
Ndugu yangu, mimi nina vi element vya kimalaya lakini haijawahi kutokea japo kuwaza tuu kutembea na ndugu au yeyote mwenye harufu ya undugu hata kwa mbali, ninyi ndio mnasababisha Mexico na Canada joto kuongezeka na hili vumbi hapa Tanzania, nakuomba uache huu ufirauni, kama uko desperate najitolea mpaka akili itakapokurudia, niinbox namba yako achana na hizi laana
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ndugu yangu,mimi nina vi element vya kimalaya lakini haijawahi kutokea japo kuwaza tuu kutembea na ndugu au yeyote mwenye harufu ya undugu hata kwa mbali, ninyi ndio mnasababisha Mexico na Canada joto kuongezeka na hili vumbi hapa Tanzania, nakuomba uache huu ufirauni, kama uko desperate najitolea mpaka akili itakapokurudia, niinbox namba yako achana na hizi laana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom