Nina m5 mdada naomba usome maelezo unipe ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina m5 mdada naomba usome maelezo unipe ushauri

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by ngarambe, Apr 19, 2012.

 1. n

  ngarambe Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mdada miaka 26 elimu yangu ni form six nilikua nafanya kazi ktk kampuni moja jijini dar ila sasa nimeacha kutokana na mambo tu ya kazini. Niko rombo kilimanjaro naomba mnipe wazo la kufanya na hiyo milion tano. Niko tayari kufanya biashara kati ya dar au rombo cose kote nina sehemu ya kukaa bila kulipa kodi. Ushauri tafadhali
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Ilete tuinywee, ponda raha kufa kwaja!
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa mtaji wako Anzisha biashara ya Chakula.
  mgahawa in Dar. inalipa.
   
Loading...