Nina laki mbili(250,000/=) unaniuzia simu gani kati ya hizi?

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Tecno ila iwe C8, Sony, Samsung, Xiamo, lg

Ziwe original tafadhari na ziwe hazijatumika zaidi ya mwezi mmoja

Specs
screen inch 5 na kuendelea juu
Battery mAh 2600 na kuendelea
internal 1gb na kuendelea
Camera iwe yenye quality 13Mp kuendelea kutegemea na bland ya simu

tuwasiliane kama unayo kati ya hizo
0713268209 nipo dodoma
 
Kuna jamaa wanauza simu za kimarekani zinakaa na chaji Zaidi ya three days, zinaitwa Blue
 
Tecno ila iwe C8, Sony, Samsung, Xiamo, lg

Ziwe original tafadhari na ziwe hazijatumika zaidi ya mwezi mmoja

Specs
screen inch 5 na kuendelea juu
Battery mAh 2600 na kuendelea
internal 1gb na kuendelea

tuwasiliane kama unayo kati ya hizo
0713268209 nipo dodoma
Galaxy 3 Samsung.. ...nko shinyanga
 
Nakushaur nunua Samsung s2 njooo unichangie dukan kwangu kkoo ungekua Dar ningekuletea ila upo mkoa dah kicheki 0716671919 kama una mtu dar mtume nipo aggrey
 
Lete hiyo hela nikuuzie blackberry z3 ambayo ina sifa zaidi ya hizo ulizotaja.utaipenda kwenye matumizi ya kukaa na chaji muda mrefu.screen ni kubwa zaid ya 5'.0712484858.nipo dar.
 
Zingine tatizo nazungumzia kwa ela yako s3,360000 s2 260000 tecno H6 ni 190000 zipo zingine c5,7,8 kwa 250000,270000,280000,300000
 
Pia kuna Samsung j1 kwa 230000 j7 580000 j3 2800000 hizo ndio Samsung nzur kwa sasa matter ni original na Sony zipo ila nyingi copy uwawei speed poor
 
Lete hiyo hela nikuuzie blackberry z3 ambayo ina sifa zaidi ya hizo ulizotaja.utaipenda kwenye matumizi ya kukaa na chaji muda mrefu.screen ni kubwa zaid ya 5'.0712484858.nipo dar.
Mkuu cmp nimeiona simu yako kwa google kwenye camera vipi maana nimeona ina 5mp na bettery 2500mAh. imetumika muda gani mkuu?
 
mkuu Elli wanapatikana wapi? na simu zao zina sifa nilizotaja? msaada katika hilo
Waliwahi kunitumia hii email

Feb 24
Select message from Ridha Mobiles that says Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea mzigo wetu mpya ya wiki hii. Kuna simu kutoka 300,000/- TZS mpaka 450,000/- TZS zilizo kuwa zina specifications za juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Wasiliana na sisi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313. Website yetu: .

Ridha
On Feb 24, Ridha Mobiles said the following:
Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea mzigo wetu mpya ya wiki hii. Kuna simu kutoka 300,000/- TZS mpaka 450,000/- TZS zilizo kuwa zina specifications za juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Wasiliana na sisi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313. Website yetu: http://ridhamobiles.com/ Kutazama simu zetu za BLU® nenda hapa: http://m.gsmarena.com/blu-phones-67.php
 
hawa wakutafuta
 
Back
Top Bottom