Nina LAKI 5 NAITAJI LAPTOP faster

Peter Griffin

Peter Griffin

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
6
Points
45
Peter Griffin

Peter Griffin

Member
Joined Aug 10, 2019
6 45
niaje wadau...

Naitaji laptop used iliyo ktk good condition.. Sifa kubwa IWEZE KUCHEZA FIFA 19 VIZURI.

tukienda kwa specifications zaid Kwa wale geeks wenzangu

- core i5 processor (2+ ghz)
- 500gb hdd(at least )
- 8GB ram (at least)
- *dedicated graphics card* (co zile za Intel HD (1GB at least)

Na sifa zngn za ziada kama reasonable size ,battery life etc

Kama una machine ilokizi vigezo, nchek inbox PESA MFUKO WA SHATI

Dau linaweza panda kidogo Kama laptop yako ni kali zaid.. Njoo inbox na dau lako usiogope.

LOCATION : DAR - MASAKI

I NEED THIS LAPTOP ASAP...
images-53-jpg.1179283
images-52-jpg.1179284
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,779
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,779 2,000
KUWA MAKINI MKUU, KWA NINI USINUNUE MPYA
 
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,581
Points
1,250
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,581 1,250
Utaibiwa hela yako. Laptops with dedicated graphics card, and not intel (i assume you want NVIDEA cards in it) hauwezi kuzipata kwa hiyo bei. Mtu akikuuzia kwa laki tano, basi ni mbovu kupitiliza na utakuwa umeibiwa tu. Model za chini kabisa mfano Acer Aspire 5 A515-51 kwa mfano, zinaanzia like 500$-800$.Unahitaji kuongeza budget yako mpaka atleast 900k - 1M . Kuna rafiki yangu alikuwa anauza laptop yake ameitumia kama mwezi i think kwa around same specs, ila bei ni just above 1M. Be careful sana ukipata hiyo PC kwa laki tano.
 
Thanks for advice...
 
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
2,330
Points
2,000
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
2,330 2,000
Nitafute kesho mchana naweza kukupa mashine ya hivyo
niaje wadau...

Naitaji laptop used iliyo ktk good condition.. Sifa kubwa IWEZE KUCHEZA FIFA 19 VIZURI.

tukienda kwa specifications zaid Kwa wale geeks wenzangu

- core i5 processor (2+ ghz)
- 500gb hdd(at least )
- 8GB ram (at least)
- *dedicated graphics card* (co zile za Intel HD (1GB at least)

Na sifa zngn za ziada kama reasonable size ,battery life etc

Kama una machine ilokizi vigezo, nchek inbox PESA MFUKO WA SHATI

Dau linaweza panda kidogo Kama laptop yako ni kali zaid.. Njoo inbox na dau lako usiogope.

LOCATION : DAR - MASAKI

I NEED THIS LAPTOP ASAP... View attachment 1179283View attachment 1179284
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,378
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,378 2,000
niaje wadau...

Naitaji laptop used iliyo ktk good condition.. Sifa kubwa IWEZE KUCHEZA FIFA 19 VIZURI.

tukienda kwa specifications zaid Kwa wale geeks wenzangu

- core i5 processor (2+ ghz)
- 500gb hdd(at least )
- 8GB ram (at least)
- *dedicated graphics card* (co zile za Intel HD (1GB at least)

Na sifa zngn za ziada kama reasonable size ,battery life etc

Kama una machine ilokizi vigezo, nchek inbox PESA MFUKO WA SHATI

Dau linaweza panda kidogo Kama laptop yako ni kali zaid.. Njoo inbox na dau lako usiogope.

LOCATION : DAR - MASAKI

I NEED THIS LAPTOP ASAP... View attachment 1179283View attachment 1179284
Ukiwa na 750 utapata mashine fresh.ongeza dau hilo
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,352
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,352 2,000
IPO SONY VAIO
SCREEN 15.6'
CORE i5
HHD 500GB (2GB)
RAM 4GB(unaweza kuongeza ikawa 8GB)
NYEUPE NDANI NJE NA KEYBOARD
KAMA KWENYE PICHA HAPA CHINI
BEI 550K
images-jpg.1181125
 
K

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
417
Points
250
K

Kigger

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
417 250
kwa iyo bei kama una mtu wako wa karinu anaenda china muagize utapata nzuri tu
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,521
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,521 2,000
If gaming is what you want why don't just buy a gaming console ? Its Cheaper, efficient and perfect as well as value for money...
 
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,866
Points
2,000
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,866 2,000
Hp Core i5
Ram 4 gb
HDD 500 GB
Graphcs 4gb inter
 
Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top