Nina kifaa muhimu nitakiweka usiku wa leo au mnipe muongozo,hii nchi imeliwa

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Kama nilivyojieleza nina kitu kizuri sana nashindwa jinsi ya kukiweka hapa
 
Kama nilivyojieleza nina kitu kizuri sana nashindwa jinsi ya kukiweka hapa

wewe shukuru tu mods wamelala. wakiamka hii porojo yako utaikuta chit chat ambako huwekwa posts zisizo na mashiko wala makalio.
 
leta mambo jombaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ni heri vita ya kutafuta usawa na haki kuliko amani inayopumbaza na kuudhalilisha utu wa mwanadamu, mtanzania acha woga weka hiyokitu hapo coz ni heri kuishi miaka michache duniani, jina lako likabaki linaishi kwa wema na haki duniani kuliko kuishi miaka mingi na ukatoweka kama mzoga.<BR>
 
ni kweli natumia pc ila namalizia masuala fulani ila itakuwa hewani sasa hivi
 
We inalekea mgeni humu jamvini,
Hii kitu mbona tunayo siku nyingi tu, sema tu natumia simu but ningeku-linkisha na huo uzi wenye hii kitu.
Watu tumekaa macho kusubiri kumbe ni hiyo barua??
 
Na wewe ni msanii kama jina lako, sasa kwa nini usiweke unaogopa nini? Kwenda zako usituchoshe kama wewe ni mchovu
 
We inalekea mgeni humu jamvini,
Hii kitu mbona tunayo siku nyingi tu, sema tu natumia simu but ningeku-linkisha na huo uzi wenye hii kitu.
Watu tumekaa macho kusubiri kumbe ni hiyo barua??
watu wote hawakujiunga siku moja,kuna wengine mpaka hivi sasa wanajiunga huenda wanahitaji kujua zaidi,we kama unajua pita tu mkuu
 
Back
Top Bottom