Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.

T-future

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
544
282
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
 
Hamjambo wana jf,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini.

Kibayolojia nina jinsia mbili.


Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo.
Nina dinda pia naona siku zangu.

Nna dunja (maziwa)
Kidogo.

Siku naona kamakawaida.

Naogopa sana kujulikana,

Naomba msaada wapenzi.
Kwa usawa huu olewa tu ndugu
 
Nguvu sio shida, hii K ikionekana?????

Duuuh, bleed itakuwaje kama nataka kuwa men??

Nataka nizalishe nijue kam mbegu zipo,

Wasijeua moja kumbe huku A hapana kaz,


Ukiangalia picha yang profile inasadif jins gan nadata nchague nn
Ndo maana unatatiwa kupata ushauri wa kitaalam ukiambatana na uchunguzi wa kina kujua kama waweza kuzalisha au kuzalishwa, baada ya uchunguzi watakushauri jinsi ipi ipunguzwe nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom