T-future
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 544
- 282
Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.