Elections 2010 Nina imani na wanaJF kuwa tutaijenga Tanzania ya Amani na Haki

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,693
22,676
Kazi mliyoifanya wanaJF katika Uchaguzi wa mwaka huu (2010) ni ya kutukuka.

Nina imani na wanaJF kuwa sasa tutaijenga Tanzania ya Amani ya kweli na Haki.

Tusilegeze kamba katika kufanikisha hili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom