Nina imani kwa mihimili ya nchi Ikulu na Mahakama lakini sio Bunge

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Nina iman na mihili yote ya nchii

Tukianza na ikulu hii taasisi imekamilika na inafanya mambo yake kwa weled pasipo kuingiliwa na mtu yeyeto yule

Mahakama hii ni taasisi ambayo inajitegemea huwa mda mwingine ina ingiliwa lakin nachoshukuru ni kwamba huwa inabaki imara na haingozwi kwa remoti

Polis hii taasisi nayo inaongozwa na watu wasiojulikana kwa kupokea maamuz kutoka juu

Bunge ndo mhimili mkubwa kabisa nchin lakin kwa sasa hauna meno na niki bogoyo
Sina iman kabisa na bunge kwakweli, bunge linaendeshwa kwa remot bunge gan hili
Bunge halina saut bunge gan hili

Sina iman na bunge hata kidogo

LONDON BABY
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nina iman na mihili yote ya nchii

Tukianza na ikulu hii taasisi imekamilika na inafanya mambo yake kwa weled pasipo kuingiliwa na mtu yeyeto yule

Mahakama hii ni taasisi ambayo inajitegemea huwa mda mwingine ina ingiliwa lakin nachoshukuru ni kwamba huwa inabaki imara na haingozwi kwa remoti

Polis hii taasisi nayo inaongozwa na watu wasiojulikana kwa kupokea maamuz kutoka juu

Bunge ndo mhimili mkubwa kabisa nchin lakin kwa sasa hauna meno na niki bogoyo
Sina iman kabisa na bunge kwakweli, bunge linaendeshwa kwa remot bunge gan hili
Bunge halina saut bunge gan hili

Sina iman na bunge hata kidogo

LONDON BABY
Ukimkataa shetani kataa na kaxi zake zote.
 
tapatalk_1512027605711.png
 
Kwakua wewe ni msukuma na unaishi mkoani natambua uwezo wako wakufikilia siwezi kukulaumu!
 
Back
Top Bottom