Nina III ya 15 kidato cha sitsa 2012 naweza kupata chuo digrii?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
205
225
Habar wanabod Mimi ni mwalimu niliyehitim kidato cha sita comb HGL
HISTORY D,GEO E na language S je nimekidh vigezo vya ndalichako kwa upande Wa digrii?nataka mwaka huu niombe chuo hata open university

Nishaurin kama Nina vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Marcel_10

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
360
250
Habar wanabod Mimi ni mwalimu niliyehitim kidato cha sita comb HGL
HISTORY D,GEO E na language S je nimekidh vigezo vya ndalichako kwa upande Wa digrii?nataka mwaka huu niombe chuo hata open university

Nishaurin kama Nina vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vigezo vya degree haujakidhi Cha kukushauli nenda open university kapige foundation course 1yr ukifaulu utapata nafasi ya kwenda kupiga degree Au kama unajiamini rudia Geo na language ukifaulu pia utaweza kujiunga na degree
 

Kijana matata

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
558
500
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom