Nina hoja, Max Mello na wenzako nisikilize tugawane umaskini.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,364
habar ya jioni wandugu?

naomba nianze kwa kuomba radhi, kwa maana ya kuwa nina kusudia kuisumbua kampuni ya Jamii media au Jamii forum kwa kuomba yafatayo yafilikiwe kiukweli naitajika kuomba radhi kwa wakurugenzi kwani ninalenga kuja na hoja ya kuwatak sehemu ya faida ya kuuendesha kampuni ya Jamii irudi kwa Member wa Jf ili nasi tuwe wepesi wa kujua kuwa tunapata kitu flani endapo tukiandika madini yenye maana kupitia jf.

HOJA

NI kuwa sisi tulio kuws jf kwa muda mrefu tumekuwa tunatumia jf kwanza kuleta habar za kweli, habari hzi tuziletazo huwa mara nyingi tunaona ni watu wangapi wsmezisoma na wanapo zisoma maana yake kuna mb huwa zinatumika ambapo jf huwa inalipwa pess hizo.

nina amini kuwa ni kidogo ili linadhilishwa na kaumbile kadogo ka mkurugenzi ila sasa naomba nilete maombi yafatayo;

kwanza ninaomba jf iwe inawalipa wale wote wanao ingiza habar au taarifa yoyote inayopata wasomaji wengi hii ni sawa na kweny magazeti hata mwandishi akipeleka taarifa kweny gazeti huwa analipwa inakuaje jf tunaandika bure? sawa tunaandika kwa mwashwa washwa wetu hatuna mkataba na jf ila kwa mazingira tuliyo nayo kuna habar zinaaandikwa humi na wasomaji wengi wanazisoma maana yake kipato kinakuwa kingi ombi langu langi jf kurugenzi ifikilie mtu yyte anae andika habar ikawa bom bom basi hasiishie tu kusomeka kama mandishi tena wa jina feki au jina sahihi kama sifileo.

baada ya kutoa mada naomba uzi huu USIFUTWE KWA MASILAI YA JF UACHWE

ila anae niunga mkono karbu kulike.tu au sema naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu,nikuulize tu,wakati wa kujiunga jamii forum uliitwa na yeyote?au unapoleta habari kuna mtu hukulazimisha kuleta?na je kuna makubaliano yoyote umeingia na jamii forum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu atakuja kuandika huku ili alipwe
habar ya jioni wandugu?

naomba nianze kwa kuomba radhi, kwa maana ya kuwa nina kusudia kuisumbua kampuni ya Jamii media au Jamii forum kwa kuomba yafatayo yafilikiwe kiukweli naitajika kuomba radhi kwa wakurugenzi kwani ninalenga kuja na hoja ya kuwatak sehemu ya faida ya kuuendesha kampuni ya Jamii irudi kwa Member wa Jf ili nasi tuwe wepesi wa kujua kuwa tunapata kitu flani endapo tukiandika madini yenye maana kupitia jf.

HOJA

NI kuwa sisi tulio kuws jf kwa muda mrefu tumekuwa tunatumia jf kwanza kuleta habar za kweli, habari hzi tuziletazo huwa mara nyingi tunaona ni watu wangapi wsmezisoma na wanapo zisoma maana yake kuna mb huwa zinatumika ambapo jf huwa inalipwa pess hizo.

nina amini kuwa ni kidogo ili linadhilishwa na kaumbile kadogo ka mkurugenzi ila sasa naomba nilete maombi yafatayo;

kwanza ninaomba jf iwe inawalipa wale wote wanao ingiza habar au taarifa yoyote inayopata wasomaji wengi hii ni sawa na kweny magazeti hata mwandishi akipeleka taarifa kweny gazeti huwa analipwa inakuaje jf tunaandika bure? sawa tunaandika kwa mwashwa washwa wetu hatuna mkataba na jf ila kwa mazingira tuliyo nayo kuna habar zinaaandikwa humi na wasomaji wengi wanazisoma maana yake kipato kinakuwa kingi ombi langu langi jf kurugenzi ifikilie mtu yyte anae andika habar ikawa bom bom basi hasiishie tu kusomeka kama mandishi tena wa jina feki au jina sahihi kama sifileo.

baada ya kutoa mada naomba uzi huu USIFUTWE KWA MASILAI YA JF UACHWE

ila anae niunga mkono karbu kulike.tu au sema naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo shida ni mb kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, kwa maana kwamba hizo ‘mb’ ni ‘pesa’ na JF hulipwa [sijui hulipwa na nani].... hii ataitolea ufafanuzi.

Tukirudi kwenye hoja yako, huwa naelewa hilo nikiingia majukwaa kama Jamii Intelligence.... uzi umejaa madini tupu ila hakuna wachangiaji duh inatoa picha kubwa.
 
Kwa hyo alieleta Uzi wa kula tunda kimasihara nae alipwe

Ricky Boy mnyama ? HELL YEAH anacontribution yake kwakweli. Amekusanya kijiji, Dunia inashangaza sana Mambo ya kipuuz yana Mvuto mkubwa na ndio yanawapa sana pesa watu, sijui kwanini ila ndio ivyooo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom