Nina heka 1,000 za shamba lenye mto usiokauka maji

Aug 23, 2019
8
16
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.

Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.

Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.

Nauza TSH 1,000,000 Kwa Heka 1.

------------------------------------ DIRECTION YA SHAMBA LILIPO ----------------------------

Ukiwa unatokea arusha ...kuna sehemu inaitwa bwiko kwa profesa Asad..kuna ghorofa moja ipo barabarani..unakata kulia baada ya hapo bwiko ni kilometa 25 mpaka shambani..

Ukiwa unatokea Dar ukitokea korogwe unakata sehemu inaitwa Mazinde kwa mohamedi entreprise kutokea hapo ni kilometa 35 mpaka shambani....

Kwa maana hiyo shamba lipo kati kati ya Mazinde ya kwa mohamedi dewji na bwiko kwa profesa Asad..

WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.52.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.57 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.57.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.59 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.59.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.36.03 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.36.03.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.36.05.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.36.07.jpeg

KARIBU SANA
0688 8888 43 au 0677 81 82 83
 
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.

Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.

Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.

Nauza 2,000,000 Kwa Heka 1.

------------------------------------ DIRECTION YA SHAMBA LILIPO ----------------------------

Ukiwa unatokea arusha ...kuna sehemu inaitwa bwiko kwa profesa Asad..kuna ghorofa moja ipo barabarani..unakata kulia baada ya hapo bwiko ni kilometa 25 mpaka shambani..

Ukiwa unatokea Dar ukitokea korogwe unakata sehemu inaitwa Mazinde kwa mohamedi entreprise kutokea hapo ni kilometa 35 mpaka shambani....

Kwa maana hiyo shamba lipo kati kati ya Mazinde ya kwa mohamedi dewji na bwiko kwa profesa Asad..

UFAFANUZI WA BAADHA YA MASWALI NILIYOKUTANA NAYO

KARIBU SANA
0688 8888 43 au 0677 81 82 83View attachment 1200710
Bei inapoa??
 
Mkuu,
1. Kwa shamba lililopo Kilometa 35 kutoka Mazinde, bei y amilioni 2 kwa heka ni kubwa sana, hebu twambie hapa last offer ni kiasi gani.
2. Umesema shamba ulimilikishwa na Mahakama Kuu -- KWA NINI MAMBO YA MAHAKAMA YANAINGIA? KULIKUWA NA MGOGORO?
 
Ili shamba pori 1000 hekari... serikali wana kuja... Wata kuachia 1000 hekari unazo zitumia...
 
Nimeingia huu uzi nimekuta mtoa uzi ana vyeo vyake vya jf lakini ghafla nikiendelea kusoma comments vyeo vimetolewa na pale kwenye taarifa zake kuna kiduara kilichokatwa hakuna on tapatalk wala nini.
 
BEI IMEPUNGUA KWA SASA UTAPATA HEKA KWA TSH 1,000,000/=
Sehemu nyingi sana wilaya za mkoa wa tanga haswa mashamban bei ya hekal moja inaanzia kuanzia elf 50 had lak na nusu,kwa mashamba pori,,naiman hata wew uliuziwa chini ya hiyo bei ila kwa bahat mbaya unauza kwa bei ya juu kupita kias,,sidhan kama utapata mteja maana ukiwa na million moja kwa mashamba ya ndan ndan unaweza pata Si chin ya hekal tano had kumi.any way kwa kuwa biashara ni huria hivo ukipata mteja ni vizur pia.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom