Waungwana wanajf. Naombeni msaada wa mawazo, nahitaji pesa za Tsh. 10m nizitumbukize katika mzunguko wangu wa biashara. Dhamana niliyonayo ni kiwanja cha kupimwa(Medium Density 1450sq. meters kiko Kigamboni kwa hati tulizopewa na serikali. Ni jinsi gani naweza kupata hiyo pesa kwa taasisi za kibenki au za watu binafsi ili niizungushe kwa miezi minne na kuirudisha kwa interest