Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Una hamu!! Ina maana ulishawahi kuolewa mana huwezi kuwa na hamu ya kitu ambacho hujawahi kukifanya!..
Sema nataka kuolewa alafu punguza vigezo mana 26 uliyotaja ni ya kwako ya kibongo but tukichimba sio chini ya 29 so sema mwanaume yeyote alafu uangalie baraka ya Mungu.
Ndio maana kuna rangi tofauti ili kila mtu achague
 
Usipanic Dada?,miaka 26 bado sana, endelea kutulia kama huna habari ya kutaka kuolewa, watu wanaolewa na miaka arobain na_ huko, wanazaa na miaka 50.
Tulia tulia tulia. Hakuna umri wa Serikali wa kuolewa. Kuwa mvumilivu ili usije juta baadae

Hahahaaa nimecheka sana, eti hakuna umri wa serikali wa kuolewa
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Vigezo vyako ukifika 30th utamtaka wa rangi yeyote tena kwa msisitizo utasema unapenda weusi.
 
Tatizo siku hizi watu wameacha kumshirikisha Mungu kwenye suala zima la kupata mume au mke bora naona mpo busy kuzifanya jf au istragram kuwa ndio miugu yenu ya kupata wenza bora hongereni kwa hilo.
 
Kamtengeneze kwa seremala huyo mdoli unayemtaka

Unaweza kuta mi Nina sifa zote unazotaka Ila in mweusi kama wasira napo utanikataa kisa rangi

Nasemaje utasubiria sana haji ng'ooo

Na utaishia kumoata mwenye sifa vice-versa na hizo unazotaja .
 
Nasie Udongo wa kisiju wakina Bilali chance zetu lini?
au tungojee second selection
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
rangi tetehhhhh
 
Una hamu!! Ina maana ulishawahi kuolewa mana huwezi kuwa na hamu ya kitu ambacho hujawahi kukifanya!..
Sema nataka kuolewa alafu punguza vigezo mana 26 uliyotaja ni ya kwako ya kibongo but tukichimba sio chini ya 29 so sema mwanaume yeyote alafu uangalie baraka ya Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom