Nina hamu ya kumuona mtoto wa DIAMOND PLATINUM

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Sijui huyo mtoto wake atakuwa kama Diamond, atakuwa anaringa, atakuwa anaimba, atakuwa rais wa wasafi shuleni kwao, atakuwa anasema baba yake ana bilioni moja lakini hana nyumba?

Najiuliza tu jamani
 
Aliyesema Diamond hana nyumba ni nani? Ana nyumba nzuri tu. Mtoto hapo ni siri yake maana kuna na binti alishajitokeza kuwa alimpa mimba na mtoto tuliona. Kana unafuatilia magazeti utakuwa ulusoma hii habari. Ila pia DNA itahusika maana haikuweza kujulikana kama ni fix au la.
 
this is too much jamani, mimba ni sensitive issue haifai midomo midomo jamani please, diamond anaweza akapata mtoto ila wewe usipate fursa ya kumuona unaweza ukawa umeshazikwa kaburini, Mungu hapendi kufundishwa kazi yake.
 
Back
Top Bottom