Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
...lakini nataka demu wa JF ndiyo anipikie. Preta? Anyone else?
sasa wewe leo unanichanganya....hizo hamu zako zote zimekuja kwa pamoja?....basi maliza kusikia hamu zote ili nijue naanzia wapi
yah...unataka uweje......mapishi ya ulezi yapo ya aina mbalimbali
Nadhani huyu bwana anaitaji uji wa ulezi mzito na maziwa machachu, kisha uweke asali kidogo. Ukikaribia poa unaweka sukari na blue band. Hapo akikamato atakoma aliyekamatwa. ahaahhaaaaaaaaaaaaaaaaa
preta njoo uchukue ule unga tulienda kusaga siku ileee kuleee then umambie maaa akuletee blueband ya mtumbwini.yah...unataka uweje......mapishi ya ulezi yapo ya aina mbalimbali
nimekumbuka mpikie uji wa shanga, si unaujua ule wa bondeni?yah...unataka uweje......mapishi ya ulezi yapo ya aina mbalimbali
preta njoo uchukue ule unga tulienda kusaga siku ileee kuleee then umambie maaa akuletee blueband ya mtumbwini.
nimekumbuka mpikie uji wa shanga, si unaujua ule wa bondeni?
Hujambo bibie? Nimekumiss...bibi wee...una visa....halafu tabia ya kutokupokea simu siipendi
nimekumbuka mpikie uji wa shanga, si unaujua ule wa bondeni?
Hujambo bibie? Nimekumiss...
Tobaaaa....wapi OPP is this what you asked or you just got more that you expected? hahahaha
Yes pope...hommieee.....:bump:
Yes pope...
Yoo...I think am getting more than what I bargained for.....dayuuum
Hujambo bibie? Nimekumiss...
hommieee.....:bump:
Ndo nashanga hapa hommie huh...uji wa shanga umeuona au kwa vile upo kaunta? dah
Ha ha ha wapi huko mamito? Asee na mi utakuja nipikia uji wa Shanga...halafu nyie mbona hamji kwenye sredi ya mndeny kule......@ Kimey.....nasinzia nikikuwaza.......@ Kaizer....nikikushika