Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi

Usifate ushauri uliopewa wa kutumia dawa flani, hawa jamaa sio daktari na diagnosis haifanywi fasta hivi kwa maelezo uliyotoa, tatizo lako linaweza sababishwa na mambo mengi sana ni vigumu kujua ni nini bila kwenda kumuona daktari directly.

Nenda hospitalini kucheki utibiwe fasta, yaweza kua tatizo dogo ila kuna possibly pia ya tatizo kua kubwa zaidi ya unavyofikiri, usitumie chochote walichokwambia ukajikuta unaongeza tatizo, mfano aliyekwambia chumvi it sounds logical ila kuna cases inaongeza tatizo kuliko kulipunguza.
 
Oral Candidiasis:Tumia fluconazole au clotrimazole


Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu pia mimi ninatatizo kama hilo, kuna mdau kaweka picha hapo juu, picha no1 ndio ulimi wangu ulivyoadhirika.
 
mkuu pia mimi ninatatizo kama hilo, kuna mdau kaweka picha hapo juu, picha no1 ndio ulimi wangu ulivyoadhirika.

geographic tongue (migratory glossitis) :tumia oral prednisolone au dexamesothone ointment pia tembelea vituo vya afya kwa ushauri nasaha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.

Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.

Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya ndani ya lips kitu kinachonipelekea kupata maumivu Fulani ya ulimi na kinywa especially wakat wa asubuhi.


Mwenye welewa na tatizo hili au ambaye amekwishawahi patwa na aina hii ya ugonjwa anijuze ni Aina gani ya dawa naweza kutumia for better results.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maradhi ya Fangasi kwenye ulimi huwezi kupona kwa kutumia Vidonge vya Vitamin C nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

ORAL CANDINDA.jpg
 
geographic tongue (migratory glossitis) :tumia oral prednisolone au dexamesothone ointment pia tembelea vituo vya afya kwa ushauri nasaha


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweri hii ni geographic tongue but ni sawa na kuota mvii. Inamaana haina tiba wala haina dawa. Iliwahi nisumbua 2009 hadi nikakutana na Dr mmoja dar akanipa maelezo hayo ni sawa na kuota mviii .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospital mheahimiwa...humu utapotea maana miluzi ni mingiii wapo wanaokwambia unazama chumvini wapo wanaokwambia unashida ya vitamin C mara B mara ukimwi ss we nenda kapime hospital
 
Back
Top Bottom