magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 7,429
- 13,172
So you are now talking imaginary things sio?! This my last quote, kuna maneno unayatumia kwa mtoto wakiume yanaleta walakini.Pure nonsense!!!
Nani kasema anawaelewa hawa wachovu wa kijani kibichi...?
Jiwe Juu ya tofali.
Naam, sasa nimeng'amua nimeshakuacha Mweupe Ka'mkorogo chata kawagogo.
Chukuaa darsa hili.
Taasisi.
Taasisi.
Taasisi.
(World Bank &IMF)
Wawezakuta nyinyi ndio ambao huwa mnamasimulizi mtaani huko yakwamba kikitolewa chama tawala basi Tanzania ghafla bin vuu Taifa lenye nguvu na chumi kubwa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app