Nina hakika Mzee wa Msoga saa hizi anashangilia huku akijisema moyoni Mungu hamfichi.....

Pure nonsense!!!

Nani kasema anawaelewa hawa wachovu wa kijani kibichi...?

Jiwe Juu ya tofali.

Naam, sasa nimeng'amua nimeshakuacha Mweupe Ka'mkorogo chata kawagogo.

Chukuaa darsa hili.

Taasisi.
Taasisi.
Taasisi.

(World Bank &IMF)

Wawezakuta nyinyi ndio ambao huwa mnamasimulizi mtaani huko yakwamba kikitolewa chama tawala basi Tanzania ghafla bin vuu Taifa lenye nguvu na chumi kubwa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
So you are now talking imaginary things sio?! This my last quote, kuna maneno unayatumia kwa mtoto wakiume yanaleta walakini.
 
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.

Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.

Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.

Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".

Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.

Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!

Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?

Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
Failures wanakaa pamoja
 
Salary Slip

Nimefurahi kuona kuwa, unaitumia vema haki yako ya kikatiba ya kutoa nje mawazo yako. Lakini kwa wakati mmoja, nasikitika kuona kuwa, unachofanya ni kazi ya usanii wa maandishi ya kufatiliziwa na muigizaji kwenye tamthiliya uliyoibuni wewe mwenyewe.

Ingefaa sana ikiwa bunilizi lako ukaliweka kwenye uhalisia, ili kwamba ujumbe wako ukae kiuhalisia zaidi. Na hilo litawezekana tu, kama ukatuwekea na ushahidi kwa hayo ambayo umeyaeleza waziwazi.

Kwa maana, mara nyingi tunapopata nafasi ya kusikiliza maelezo ya mzee wetu mstaafu. Ni dhahiri kuwa anaunga mkono na anakubaliana na namna ya utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano ya Dkt Magufuli. Na si kwamba hayo anayasema akiwa mafichoni; mzee Kikwete amekuwa akiyasema hayo hadharani. Vivyo hivyo kwa Rais Magufuli, amekuwa akizitambua na kuthamini juhudi ambazo mtangulizi wake amezifanya kwa taifa. Naye ameyasema hayo waziwazi na ushahidi upo. Sasa nimepata kufadhahika kidogo niliposoma maelezo yako haya. Labda kama ulikuwa unatoa simulizi bunilizi lako.

Kwa yale JK aliyotenda hutokaa umuone hadharani akisema tofauti na anachosema kwani anajua itakula kwake. Hata nyakati za mwanzo alitaka kujibu mapigo, lakini baada ya neno kuwashwa washwa kutumika mpaka leo amebaki kukaa kwa kutulia. Anachokifanya hadharani ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Mzee wa watu yuko nigeria kwenye uchaguzi unaoendelea huko nyie mmamponda huku
 
So you are now talking imaginary things sio?! This my last quote, kuna maneno unayatumia kwa mtoto wakiume yanaleta walakini.
Naona Pumzi imekukata kitimbakwili.

Unakurupuka kuni'quote na Mihemuko yako yakindezi.

Nyinyi ndio hamuwezi hata kunusa pua Quora.Weka hoja watu Wasome kisha waamue,Sio unakaa unasubiri Mtu aweke hoja kisha unadakia hoja mbaya zaiidi unafanya shambulizi kali kwa kumquote aliyechangia maada"Ad hominem Argument"

Ulikuwa Unajaribu kuweka shingo kupima Ukali Wa panga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa watu yuko nigeria kwenye uchaguzi unaoendelea huko nyie mmamponda huku

Wasimamizi wote wa Africa kwenye hizi chaguzi huwa wanaenda kupoteza muda kwani hawasemi kweli kwani nao tabia zao ni hizo hizo. Hivi JK anaenda kusimamia uchaguzi kwa chaguzi ipi iliyoendeshwa la haki akiwa rais hapa nchini? Hao viongozi huwa wanachaguliwa kutokana na nafasi walizoshika nchini mwao, wala sio uadilifu wao.
 
Nalijua hilo nimekuoata vema mkuu
Wasimamizi wote wa Africa kwenye hizi chaguzi huwa wanaenda kupoteza muda kwani hawasemi kweli kwani nao tabia zao ni hizo hizo. Hivi JK anaenda kusimamia uchaguzi kwa chaguzi ipi iliyoendeshwa la haki akiwa rais hapa nchini? Hao viongozi huwa wanachaguliwa kutokana na nafasi walizoshika nchini mwao, wala sio uadilifu wao.
 
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.

Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.

Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.

Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".

Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.

Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!

Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?

Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
Mwenyewe hujui hata unaongelea nini. Ungejua namna ccm ina operate usingekuja na uzi huu wa kipuuzi vinginevyo unataka kupotosha tu. Hakuna shaka jpm anadhibiti vyema mambo.
 
JK anaye CAG na hiyo ndo kabali kali kabisa inayomsumbua Jiwe. Ye atapiga domo weee nakurusha vijembe kwa JK, CAG akiibuka huko aliko anamtwisha Jiwe konde moja la maana kama lile la 1.5 Tril, Jiwe anafunga domo anaanza kujitetea teh

Sent using Jamii Forums mobile app

CAG anamuumbua huyu jamaa vibaya mno MUNGU ampe maisha marefu CAG Assad na awamu hii ndo kuna Ufisadi mkubwa mno ngoja amalize mda wake watajionea
 
Shoga tu ww ht sura inaonyesha kbs nitafute nikufumue marinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya hotuba za Mwalimu Julius Nyerere.

Aliwahi kusema Upumbavu ni kipaji.

Na Mpumbavu hurudia Makosa yale yale,anaambiwa usifanye hiki sio kizuri yeye hurudia mule-mule.

Wapumbavu karne hii ya 21 adhabu yao tosha ni shimo la hewa.

Sasa ulivyo mvivu wa kuandika(Kbs-kabisa,ht-hata) na Uandishi wako mchafu,Kwanini tusikutumbukize katika shimo la hewa Ewe Kipwilo..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip

Nimefurahi kuona kuwa, unaitumia vema haki yako ya kikatiba ya kutoa nje mawazo yako. Lakini kwa wakati mmoja, nasikitika kuona kuwa, unachofanya ni kazi ya usanii wa maandishi ya kufatiliziwa na muigizaji kwenye tamthiliya uliyoibuni wewe mwenyewe.

Ingefaa sana ikiwa bunilizi lako ukaliweka kwenye uhalisia, ili kwamba ujumbe wako ukae kiuhalisia zaidi. Na hilo litawezekana tu, kama ukatuwekea na ushahidi kwa hayo ambayo umeyaeleza waziwazi.

Kwa maana, mara nyingi tunapopata nafasi ya kusikiliza maelezo ya mzee wetu mstaafu. Ni dhahiri kuwa anaunga mkono na anakubaliana na namna ya utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano ya Dkt Magufuli. Na si kwamba hayo anayasema akiwa mafichoni; mzee Kikwete amekuwa akiyasema hayo hadharani. Vivyo hivyo kwa Rais Magufuli, amekuwa akizitambua na kuthamini juhudi ambazo mtangulizi wake amezifanya kwa taifa. Naye ameyasema hayo waziwazi na ushahidi upo. Sasa nimepata kufadhahika kidogo niliposoma maelezo yako haya. Labda kama ulikuwa unatoa simulizi bunilizi lako.
Wewe hujawahi kumsikia huyu tuliye naye hivi sasa akimpiga vijembe Mzee wa Msoga kuwa anawashwawashwa??

Yaani tushukuru uvumilivu wake na uwamadiplomasia wake Mzee wa Msoga, wa kupokea mashambulizi......

Kwani yeye ameamua kutekeleza mafundisho ya Bwana wetu Yesu Kristo, ya akupigaye Kofi shavu la kulia, mgeuzie na shavu la kushoto aendelee tu kukuchapa!
 
Unakumbuka uliandika nini wakati anaondoka madarakani miaka 3 iliyopita? Ulisema utashangilia kila siku baada kustaafu kwake maana alikuwa 'dhaifu? Leo hii unapata ujasiri wapi wa kuita wengine wanafiki wakati unakula matapishi yako hadharani? Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri.
@Salary Slip yuko sawa, Zamani wakati vyoo ni vya jumuia nilipata kuingia choo cha soko nikatoka nimelaani hakuna choo kichafu duniani kama hicho. Lakini siku nilipokuja kuingia cha stand nilichoka kabisa na kutaja kuwa cha choo cha sokoni ni bora zaidi.
Jee hapo kulifanya choo cha soko kuwa kisafi?

Tatizo hata hii mada hajaielewe imelenga nini bali amekurupuka tu.
 
Kulipuliwa kwa mwandishi Daud Mwangosi hakukushtua wala kushambuliwa na kuuawa kwa mgombea Urais wa Chadema, Dr. Mvungi hakukushtua kisa? Ilikuwa ni awamu ya mtoto wa mjini, lakini kushambuliwa kwa Mh. Lissu katika awamu ya wakuja kumekushtua sana hadi umeanzisha uzi. Watu kama wewe ni hatari sana katika jamii.
Wala kuteswa kwa Dr Ulimboka kule Mabwepande hakukumshtua mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom