Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Imeandikwa katiika Biblia kuwa ukiua kwa upanga nawe utakufaa kwa upanga na pia kuna msemo: "malipo ni hapa hapa duniani"
Kuna watu wamejisahau sana ila ukweli wana tuhuma nyingi sana na nzito zinazowakabili ambazo haziwezi kuwaacha salama hasa kutokana na chuki na visasi vyao kwa siku za baadae hata wakiwa ni wazee wa miaka 80 na kuendeĺea.
Pia na wale wengine wote wanaotuhumiwa kutenda makosa mbalimbali ila kuna nguvu kubwa inatumika kuwalinda wajue tu anaewalinda hawezi kuwapa kinga kama ambavyo yeye mwenyeww asivyo na kinga kwa baadhi ya tuhuma za wakati ule.
Heri yao wale wote wanaokwenda jela/mahabusu leo hii wakiwa vijana kuliko wale watakaokwenda jela /mahabusu kesho wakiwa wazee.
"madaraka hayadumu bali jinai huduma"