Nina hakika kuna watu watakuja kwenda mahabusu na wengine hata kufungwa jela wakiwa wazee wa miaka 80

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,326
Imeandikwa katiika Biblia kuwa ukiua kwa upanga nawe utakufaa kwa upanga na pia kuna msemo: "malipo ni hapa hapa duniani"

Kuna watu wamejisahau sana ila ukweli wana tuhuma nyingi sana na nzito zinazowakabili ambazo haziwezi kuwaacha salama hasa kutokana na chuki na visasi vyao kwa siku za baadae hata wakiwa ni wazee wa miaka 80 na kuendeĺea.

Pia na wale wengine wote wanaotuhumiwa kutenda makosa mbalimbali ila kuna nguvu kubwa inatumika kuwalinda wajue tu anaewalinda hawezi kuwapa kinga kama ambavyo yeye mwenyeww asivyo na kinga kwa baadhi ya tuhuma za wakati ule.

Heri yao wale wote wanaokwenda jela/mahabusu leo hii wakiwa vijana kuliko wale watakaokwenda jela /mahabusu kesho wakiwa wazee.

"madaraka hayadumu bali jinai huduma"
 
Wallah 2025 november bashite na sisonje hakuna kusubiri ni kuwapiga risasi ili wajue maumivu waliopata/wanayopata wengine walioumbwa na mungu yapoje, ni kuwapa vilema wawe wanajinyea walipokaa na mungu tunakuomba sana usiwaache salama hawa mafedhuli wawili
 
Mkuu kama uliona ile clip ya Samwel Doe au Gaddafi ndio utajua kuwa binadamu tunajidanganya sana na mamlaka ambayo yana muda tuu.
Nikikumbuka ile sura ya Saddam dakika moja kabla hajaveshwa kitanzi haijanitoka akilini hadi Leo.
Hivi kwa nini viongozi wetu wasiishi na kutenda kama Jerry Rawlings ambaye unaambiwa hata Leo hii hapo Ghana anaweza kutembea mitaani peke yake bila hofu? Tusubiri!
 
Anaye wakinga ni shetani kwa muda huu ambao wameshika hatamu ni kukesha kwa maombi maana mungu ametupa kila kitu sisi ni waumbaji pia
 
Hata yule Rais wa Brazil amekuja kufungwa Jela baada ya miaka 20 ya uongozi wake..juzi tu ndo wamemfunga jela
 
Heri yao wale wote wanaokwenda jela/mahabusu leo hii wakiwa vijana kuliko wale watakaokwenda jela /mahabusu kesho wakiwa wazee.

"madaraka hayadumu bali jinai hudumu"
Ni kufuatia hoja kama hizi hivyo kupelekea waliopo kuingiwa uoga wa kuondoka kwa hiyari na kuwapisha wengine, na ndio maana lile zoezi la kupishana hupangwa kwa igizo, zisipotosha, zinatosheshwa, zisipojaa, zinajazilizwa, na hata ikitokea kwa bahati mbaya zoezi la kutoshesha na kujaziliza kushindikana, then kanuni ya tatu ni kubatilisha, kama ilivyotokea kule!. Hivyo sana ndugu yangu, mtasubiri sana!.

Paskali
 
Hivi ni kwa nini viongozi hujisahau kwamba kuna kutoka madarakani hapo baadaye? Mungu atunusuru saasa
 
Bora umekiri wazi 'kiaina' kwamba ccm haitatolewa madarakani (kwa miaka ya karibuni) kwa upinzani huu wa KITAPELI - leo nakuunga mkono kwa 100% kamanda!.
 
Ni kufuatia hoja kama hizi hivyo kupelekea waliopo kuingiwa uoga wa kuondoka kwa hiyari na kuwapisha wengine, na ndio maana lile zoezi la kupishana hupangwa kwa igizo, zisipotosha, zinatosheshwa, zisipojaa, zinajazilizwa, na hata ikitokea kwa bahati mbaya zoezi la kutoshesha na kujaziliza kushindikana, then kanuni ya tatu ni kubatilisha, kama ilivyotokea kule!. Hivyo sana ndugu yangu, mtasubiri sana!.

Paskali

Pole yanaweza kutokea usiyoyajua.
 
Wallah 2025 november bashite na sisonje hakuna kusubiri ni kuwapiga risasi ili wajue maumivu waliopata/wanayopata wengine walioumbwa na mungu yapoje, ni kuwapa vilema wawe wanajinyea walipokaa na mungu tunakuomba sana usiwaache salama hawa mafedhuli wawili
teh! teh!
 
Ni kufuatia hoja kama hizi hivyo kupelekea waliopo kuingiwa uoga wa kuondoka kwa hiyari na kuwapisha wengine, na ndio maana lile zoezi la kupishana hupangwa kwa igizo, zisipotosha, zinatosheshwa, zisipojaa, zinajazilizwa, na hata ikitokea kwa bahati mbaya zoezi la kutoshesha na kujaziliza kushindikana, then kanuni ya tatu ni kubatilisha, kama ilivyotokea kule!. Hivyo sana ndugu yangu, mtasubiri sana!.

Paskali
Paskali unamkumbuka General Olusegon Obasanjo wa Nigeria? Hivi alishawahi kupata tuzo ya Nobel? Nikumbushe kama unakumbuka.
 
Mkuu kama uliona ile clip ya Samwel Doe au Gaddafi ndio utajua kuwa binadamu tunajidanganya sana na mamlaka ambayo yana muda tuu.
Nikikumbuka ile sura ya Saddam dakika moja kabla hajaveshwa kitanzi haijanitoka akilini hadi Leo.
Hivi kwa nini viongozi wetu wasiishi na kutenda kama Jerry Rawlings ambaye unaambiwa hata Leo hii hapo Ghana anaweza kutembea mitaani peke yake bila hofu? Tusubiri!
Kuna watu wanaponzwa na ulevi pamoja na ushamba wa madaraka na wamejisahau kupita kiasi.

Hivi sasa wanaona dunia yote ni yao na wala hawawazi kesho itakuwaje.Hawa watu watakuja kutia huruma sana wakati ukifika kwa yatakayowakuta baadhi wakiwa wazee na hata wagonjwa.
 
Back
Top Bottom