Nina Elimu ya Umeme ngazi ya Cheti: Natafuta kibarua ili niweze kumudu gharama za maisha

Connection kivipi mkuu yaani kwa mfano umeniona mimi najenga nyumba yangu unanifuata unanieleza kuwa wewe ni fundi umeme nikupe kazi ya wiring hapo kuna connection gani sasa inahitajika?
mkuu hujui maisha ya mtaani sasa hivi yalivyo, huyo bosi anaejenga usikute tayari anafundi wake tangu nyumba inachimbwa msingi.
usizarau kitu connections sasa hivi ndio mfumo wa maisha karne hii
 
Mbona nasikia electrical artisan wanaitajika sana na ARAB CONTRACTOR. Peleka barua yako kwenye ofisi zao za Morogoro - Kisaki
 
Connection kivipi mkuu yaani kwa mfano umeniona mimi najenga nyumba yangu unanifuata unanieleza kuwa wewe ni fundi umeme nikupe kazi ya wiring hapo kuna connection gani sasa inahitajika?
Aisee umeandika kirahisi sana kama unatumia WiFi ya peponi.
 
Connection kivipi mkuu yaani kwa mfano umeniona mimi najenga nyumba yangu unanifuata unanieleza kuwa wewe ni fundi umeme nikupe kazi ya wiring hapo kuna connection gani sasa inahitajika?
Inaonekana hauishi Tanzania siku hizi Hadi kazi za kubeba zege zinahitaji connection
 
Inaonekana hauishi Tanzania siku hizi Hadi kazi za kubeba zege zinahitaji connection
Hapana mkuu nipo tanzania.
Labda roho za watanzania zimebadilika kutokana na ugumu wa maisha.
Ila mimi binafsi sina roho ya kibaguzi ikitokea nina kazi na nikajiridhisha kwamba hiyo kazi unaiweza mimi nitakupa tu hata kama sio ndugu yangu.
Hii ni kutokana na harakati mbalimbali nilizopitia nachukulia kila mtanzania ni ndugu yangu.
Ila sijajua kwa upande wa watu wengine ila sidhani kama Watanzania wamefikia kuwa na roho hiyo ya kibaguzi.
 
Kijana vp zile kazi za tanesco umeomba au mana kwa upande wa umeme ajira nyingi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom