Nina dollar 1000 kwa rafiki wa jamii forum for christmas

Western union nitatuma tu,muongee na bosi Wenu wa jamii nitume Huko mkachukue.nakaa Ny
 
We una nini kwanza?hatuhitaji msaada sisi because we hv enough,tuna madini,tuna samaki,tuna gas,hatuhitaji hiyo pesa nenda kawape waathirika wa kimbunga cha sandy sanasana uje tukupe msaada wa ekari 300 ulime chakula na ukiuze tanzania, watanzania sembuse JF hatuhitaji misaada toka nje ili tufanikiwe

Watu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.
 
We una nini kwanza?hatuhitaji msaada sisi because we hv enough,tuna madini,tuna samaki,tuna gas,hatuhitaji hiyo pesa nenda kawape waathirika wa kimbunga cha sandy sanasana uje tukupe msaada wa ekari 300 ulime chakula na ukiuze tanzania, watanzania sembuse JF hatuhitaji misaada toka nje ili tufanikiwe
Ni zawadi .christmas its time to give gift and celebration .rich or poor receive and give gift
 
Hahahhahaa... Ingekuwa kweli,sijui watu wangetafutanaje humu ndani..loh!
 
mie nataka nandae chakula cha mchana cha watoto wa mazingira magumu

dola 300 zitasaidia, tumia account ya King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom