Nina Diploma ya udaktari wa binadamu (diploma in clinical medicine) natafuta kazi

Wakuu bado sijafanikiwa naombeni msaada kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi hii Kati ya Arusha au DSM.hata kwa kujitolea nikapata posho tu.uzoefu ninso

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nikisikia Tangazo La Tandabui Oops 😂🤣😃😅
Afanya Kazi Kwenye Pharmacy Kubwa!😣
Dolly Ana~Drive Haa😃🤣😂😁😆😄😄😅😎
 
Hii kozi siku hizi ishakua jau, kifupi is too saturated haina ishu tena..labda uitumie kama ngazi ya kupandia kwenda degree.
Hapo inakuwa mpango sana.

Ila kwa kutegemea umalize upigee kazi daah yataka connection na kujitolea sana mahospitalini
 
Hapo inakuwa mpango sana.

Ila kwa kutegemea umalize upigee kazi daah yataka connection na kujitolea sana mahospitalini
Sure, utachakaa sana ..

Ukipata admission C.O piga sana msuli upate GPA nzuri ili uweze kupata admission ukishindwa muhas, udom basi private nzuri za bei nafuu kama kcmuco na cuhas.

N.B: on serious note, inabidi ukimaliza tu uunge degree, ukisema ukae kidogo kusoma sahau, na siku hizi HESLB hupew mkopo ukiwa umemaliza more than 4 years.
 
Hebu niambie tofauti ya tabibu na daktari..
Tatizo nyie muliofika degree munatuzarau sisi wa diploma...wakati kazi ni moja
Mm nipo Kijiji natibu binadamu kwenye zahanati.wew upo hospitali ya wilaya unatibu binadamu....heshimu utu wa mtu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
umeongea kwa uchungu sana ,

Kama upo mjini fanya mawasiliano na watu wa vijijini , private nyingi za vijijini wanatumia CO's
 
Hapo inakuwa mpango sana.

Ila kwa kutegemea umalize upigee kazi daah yataka connection na kujitolea sana mahospitalini
Huna data za kutosha labda, fuatilia ajira zote za tamisemi, huwa wanaongoza manesi kwa kuajiriwa wanafuata hao matabibu na kwa ujumla diploma hao ndo wanaajirika kirahis serikalin kuliko degree, na kwa upande wa private wanachukuliwa sana, Health Centre nyingi unazoziona mjini wengi ni MaCO na MD wanakuwa wawili au mmoja tu kwa ajili ya major surgery. Clinical Officer upo dar kushindwa hata kupata laki 3 kwa mwezi ni uzembe, sijui mikoa mingine huko.
 
Sawa mkuu nimejifunza kitu pia kutoka kwako.

Kwa hiyo inaweza kusaidia ikiwa una mtu wako ukamtageti asome diploma kisha atafute ajira au vipi mkuu
 
Nipe contact nimlink dogo
Weka Mambo sawa hakuna Diploma ya udaktari, Wala hakuna clinical medicine ,wewe una diploma ya utabibu yaani clinical officer,Kama mpaka mwezi wa nane utakuwa hujapata nicheck Kuna kituo kipya kinaenda kufunguliwa Mwanga kilimanjaro ila binafsi
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu natakiwa nikasome coz gan hapa ni nzuri kati ya crinical medicine na biomedical engineering ipi ni nzur na inaajira jaman nipo njia panda
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu natakiwa nikasome coz gan hapa ni nzuri kati ya crinical medicine na biomedical engineering ipi ni nzur na inaajira jaman nipo njia panda
Unapenda nini katika afya ?

Au wewe unapenda ajira yeyote tu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom