Nina diploma ya computer science naombeni kazi ya kujitolea

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Habarini ndugu zangu

Naombeni nafasi ya kazi yeyote ya kujitolea/ internships

Nina diploma ya computer science

Nipo Dar es salaam kwa SaaS

Asanteni
 
peleka resume yako Reime..ipo mikocheni karibu na chuo cha utangazangaji cha mlimani ila iyo posho yao sasa usije kimbia tu uwe mvumilivu maana kwa akina kanjibai ni kisanga
 
Mwaka 2016 nilikuwa nikifanya na hawa Kanjibhai cha muhimu ni uvumilivu ila akijitahidi anaingia kwenye Active NOC
 
peleka resume yako Reime..ipo mikocheni karibu na chuo cha utangazangaji cha mlimani ila iyo posho yao sasa usije kimbia tu uwe mvumilivu maana kwa akina kanjibai ni kisanga
Hapa Reime nimepeleka CV mara nyingi sana ila wananitosa
 
Habarini ndugu zangu

Naombeni nafasi ya kazi yeyote ya kujitolea/ internships

Nina diploma ya computer science

Nipo Dar es salaam kwa SaaS

Asanteni
Una diploma ya Computer science,lkn hujui umespecialize kwenye nini,kama ni networking,database,system analysis au programming.

Kwa kifupi ww mwenyewe hujijui unajua nini na ndio kosa kubwa wanalolifanya vijana wengi wanaosoma hizi course za IT na asikudanganye mtu hamna field yenye ajira za kumwaga kama IT na ni field ambayo rahisi kujiajiri tatizo wanaosoma HAWAJUI WANATAKA KUWA NANI.

Je nakuuliza ww upo vizuri katika eneo gani? na unatakiwa ujue haswa na si kujua jua ili iwe rahisi mtu kukusaidia.
 
Izo diploma na degree ndio zinawatia ujinga sema huna kazi na unataka kazi maisha yaendelee kwani wote wanaoendesha maisha yao mjini wana ayo madude.
 
Una diploma ya Computer science,lkn hujui umespecialize kwenye nini,kama ni networking,database,system analysis au programming.

Kwa kifupi ww mwenyewe hujijui unajua nini na ndio kosa kubwa wanalolifanya vijana wengi wanaosoma hizi course za IT na asikudanganye mtu hamna field yenye ajira za kumwaga kama IT na ni field ambayo rahisi kujiajiri tatizo wanaosoma HAWAJUI WANATAKA KUWA NANI.

Je nakuuliza ww upo vizuri katika eneo gani? na unatakiwa ujue haswa na si kujua jua ili iwe rahisi mtu kukusaidia.
Mkuu diploma unaspecialize. Duh. Cs huwa ni general unagusa kila angle
 
Duu kweli ww hujitambui,wenzako certificate washajijua wanataka nini na wenzako diploma wana project zao washazifanya.Kuna dogo alimaliza 4m4 akawa anasoma UCC certificate,huku akiwa tayari kasha specialize ktk networking kaunga diploma sasa,yupo bank ana deal na ATM.Kijana narudia tena we na diploma yako wanaweza wakakuacha alafu wakamchukua wa certificate,sababu anajijua anafanya nini shauli yako na kwa style hii nina uhakika,huwezi kusaidiwa SABABU WW MWENYEWE HUJAJUA UNAFANYA NINI.

Mtu anayesoma computer science haajiliwi sababu ya certificate au gpa bali kwa kile anachokijua,
Kama Networking basi device za Cisco,Juniper,Huawei ,Mikrotik nk uwe unazijua.

Kama database basi atleast Oracle au Mysql uwe unajua.

Kama programming hakikisha atleast language tatu uwe unazijua mf Java,Php,C++,Python nk.

Sasa wewe unakuja eti ooohh mimi nina diploma ya computer science naomba ajira !!!!! ni ngumu kusaidiwa kwa style hiyo,sababu hata ww HUJUI UNATAKA NINI.Huu ushauri nakupa ukitaka uchukue au uache,ila hujachelewa unaweza soma ww mwenyewe Youtube tutorials zipo kibao ktk nyanja mbalimbali za IT na bado kuna torrents hizi download vitabu soma,so kijana hujachelewa AMUA SASA UNATAKA KUWA NANI.

Kalaga bhao kuna wenzako wana diploma wanawakalisha wenye degree na master zao.
 
Una diploma ya Computer science,lkn hujui umespecialize kwenye nini,kama ni networking,database,system analysis au programming.

Kwa kifupi ww mwenyewe hujijui unajua nini na ndio kosa kubwa wanalolifanya vijana wengi wanaosoma hizi course za IT na asikudanganye mtu hamna field yenye ajira za kumwaga kama IT na ni field ambayo rahisi kujiajiri tatizo wanaosoma HAWAJUI WANATAKA KUWA NANI.

Je nakuuliza ww upo vizuri katika eneo gani? na unatakiwa ujue haswa na si kujua jua ili iwe rahisi mtu kukusaidia.
Mimi nna ndugu yangu ana degree ya Cs hashauriki jamani mvivu wa kutafakari nje ya box
 
Duu kweli ww hujitambui,wenzako certificate washajijua wanataka nini na wenzako diploma wana project zao washazifanya.Kuna dogo alimaliza 4m4 akawa anasoma UCC certificate,huku akiwa tayari kasha specialize ktk networking kaunga diploma sasa,yupo bank ana deal na ATM.Kijana narudia tena we na diploma yako wanaweza wakakuacha alafu wakamchukua wa certificate,sababu anajijua anafanya nini shauli yako na kwa style hii nina uhakika,huwezi kusaidiwa SABABU WW MWENYEWE HUJAJUA UNAFANYA NINI.

Mtu anayesoma computer science haajiliwi sababu ya certificate au gpa bali kwa kile anachokijua,
Kama Networking basi device za Cisco,Juniper,Huawei ,Mikrotik nk uwe unazijua.

Kama database basi atleast Oracle au Mysql uwe unajua.

Kama programming hakikisha atleast language tatu uwe unazijua mf Java,Php,C++,Python nk.

Sasa wewe unakuja eti ooohh mimi nina diploma ya computer science naomba ajira !!!!! ni ngumu kusaidiwa kwa style hiyo,sababu hata ww HUJUI UNATAKA NINI.Huu ushauri nakupa ukitaka uchukue au uache,ila hujachelewa unaweza soma ww mwenyewe Youtube tutorials zipo kibao ktk nyanja mbalimbali za IT na bado kuna torrents hizi download vitabu soma,so kijana hujachelewa AMUA SASA UNATAKA KUWA NANI.

Kalaga bhao kuna wenzako wana diploma wanawakalisha wenye degree na master zao.
ungekuwa karibu ningek toutoa buku ya soda umeongea point tupu tena kiprofessional
 
Umesema yoote...
 
Habarini ndugu zangu

Naombeni nafasi ya kazi yeyote ya kujitolea/ internships

Nina diploma ya computer science

Nipo Dar es salaam kwa SaaS

Asanteni
Ondoka huko usije kufanana na Hawa jamaaa
tapatalk_1560276590971.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom