Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

Sio chini ya milioni 20 hapo atleast unapata vitu vitu vya kisasa
Mpe mchanganuo mfano kwa editing nitahitaji imac pro inauzwa bei flani camera nitahitaji Canon EOS inauzwa bei hii na ofisi pango ni kiasi flani na tutafanya hivi kuingiza faida ukijibu hivyo kwa ufupi unaweza poteza muwekezaji kuna watu wana mitaji lakini hawajui wawekezeje na wapi
 
Sawa boss, ngoja niandae list na hapo itabidi niingie dukani kuulizia baadhi ya vitu
 
Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hii industry. nimekua kwenye mambo haya since 2015. si lazima uwe na vifaa vyote, muhimu ni Pc nzuri na sehemu yakuzugia ama Ofisi(kama umejaaliwa) vingine vyote unaweza kukodi project hadi project.
 
Mkuu km una PC yenye uwezo mzuri na programs km za adobe after effects na nyingine za video production kuna kazi kibao kwenye freelancer platform km Fiverr.

Nicheck inbox nikuelekezee baadhi ya vitu.
Kazi hizi zinahitaji ujuzi wako tu na uwe na pc yenye uwezo mzuri ku run hizo programs
 
Naheshimu ulchosema, mm n mgeni wa industry lakin uwezo ninao, em fikiria mtu anakuja kwako kwa ajili ya kazi halafu unamwambia subiri nikakope vifaa hapo c atakuona Hauko serious.
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es Salaam.

Nimemaliza chuo mwaka 2020 katika fani ya diploma in film production, hivyo naweza kutumika kama cameraman, video editor, script writer, director na mambo yote yanayohusiana na filamu, sherehe tofauti tofauti au kwenye televisheni.
Produce sasa
 
Naheshimu ulchosema, mm n mgeni wa industry lakin uwezo ninao, em fikiria mtu anakuja kwako kwa ajili ya kazi halafu unamwambia subiri nikakope vifaa hapo c atakuona Hauko serious.
Mfano kazi ya harusi, send off , kitchen part zinakuja ghafla tu mkuu??si wanafanya booking kabla ?? Mfano mtu ana ku book event mwezi ujao tarehe 14 , na wewe si unaenda kwa wale wanaokodisha vifaa unawaambia una sherehe tarehe 14, simple tu, mwenye sherehe kakupa advance na wewe kule unakokodi vifaa unawalipa advance, super easy tu. Tunafanya hivo wenzio miaka kwa miaka mkuu
 
🙏
 
🙏🏾
Hii ndo aina ya uelewa watu hawapati pamoja na Diploma/Degree zao.

Asilimia kubwa ya watu wanakodisha vifaa...na wala sio wote ni freelancers....hata makampuni do that every now and then.
 
Mkuu 700 kwa saa ni 7000 kwa siku, 42,000 kwa wiki (siku 7) na 168,000 kwa mwezi. Ukiamua kufanya kazi ya aina hii iwe intern tu yenye possibility ya ajira mbeleni
Nakuelewa boss, ila hapo cjapewa majukumu ya kazi
 
Mkuu km una PC yenye uwezo mzuri na programs km za adobe after effects na nyingine za video production kuna kazi kibao kwenye freelancer platform km Fiverr.

Nicheck inbox nikuelekezee baadhi ya vitu.
Kazi hizi zinahitaji ujuzi wako tu na uwe na pc yenye uwezo mzuri ku run hizo programs
Nzuri sana
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom