Nina desktop moja na hp notebook laptop

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako.
 
Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako
Tumia desktop kurushia Nyimbo kwenye simu sehemu za uswazi huwezi kosa hata buku5 ya kula.
 
Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako
Jiunge bundle fungua account ya paypal ufanye remote tasks. itakulipa ukiwa serious mkuu.
 
Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako
Una ujuzi gani? Tusnzie hapo.
 
Back
Top Bottom