Nina degree ya uchumi, naombeni msaada nipate kazi au intern

ladygirl

New Member
Dec 10, 2020
1
0
Habarini za wakati;

Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au intern nitashukuru sana. Nipo tayari kufanya kazi popote ndani ya Tanzania.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom