Nina degree nimegundua nimeajiriwa na darasa la saba

Kakuajiri au mmeajiriwa section moja?? Kwa uandishi wako huu, nadhani ulitakiwa uajiriwe na wa darasa la 4. Elimu haihitajiki kumzalisha mtu bali experience.
 
Wewe Ulikuwa hujua kuwa darasa la 7 ndio waajiri wazuri? Hiyo degree yako umeipataje kama mambo madogo kama hayo hukuyajua? Rudisha degree ya watu
Elimu ya Tznia ni bomb.....kama huyu ni graduate kweli wa f4 atakua je?
 
Una degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.

Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.

Mzee Mwinyi alishawahi kuwa Rais wa nchi hii na mawaziri wake wengine walikuwa na PhD. Kwa hiyo kipindi hicho maji hayakufuata mkondo?
 
Chamsingi tumia degree yako hapo ulipo ajiriwa ili kubuni mambo makubwa zaidi ndani ya hiyo sekta kwa maendeleo endelevu
 
Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy


Wahenga walisema: "Mtumikie kafiri upate mradi wako".

Huna sababu ya kulalamika juu ya elimu ya mtu, lalamika pale atakapokunyima Mshahara wako.
 
Back
Top Bottom