kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
Usishangae saa mkuu.Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
Ni kweli mkuuUsishangae saa mkuu.
Elimu ya mtu sio kigezo cha mafanikio.
Kufanya kazi kwa bidii, kutokata tamaa na kumuomba mungu ndio siri.
SawaKakuajiri au mmeajiriwa section moja?? Kwa uandishi wako huu, nadhani ulitakiwa uajiriwe na wa darasa la 4. Elimu haihitajiki kumzalisha mtu bali experience.
SawaUna degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.
Elimu ya Tznia ni bomb.....kama huyu ni graduate kweli wa f4 atakua je?Wewe Ulikuwa hujua kuwa darasa la 7 ndio waajiri wazuri? Hiyo degree yako umeipataje kama mambo madogo kama hayo hukuyajua? Rudisha degree ya watu
Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
So?Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
Una degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.
Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
Wakuu nimetoka kugundua sio mda kumbe nimeajiriwa wa darasa la 7 live is a great controversy
Bora wewe form four leaverUna degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.