Nina chuki na utawala wa Magufuli kupita kiasi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Ndugu zangu wenyewe mnaona hali ilivyo,
Hakuna kilichofanyika naona ni kukomoana tu yaani nina hasira na huu utawala wa kidhalimu namna hii madawa hakuna, pesa hakuna, mishahara mibovu, ajira hakuna, umaskini umezidi, ufisadi wa kidigitali km wa kina makonda umezidi.

Nina hasira na huu utawala dhalimu na hatari kwa mtanzania
Kwanini mungu unaruhusu?

Maandamano yakitangazwa nipo tayari kuingia barabarani
Oneni utajiri wa Makonda wa kujichotea pesa kwenye kodi za wananchi kakarabati ofisi kwa milioni 400.

Huu utawala ni hatari sana hakuna kinachofanyika ni comedy tu hadi wanaboa na kuchefua

Demokrasia inabakwa
Nina hasira na hii serikali sana utawala gani huu usiofaa unakula rambirambi za wahanga

Ee Mungu uko wapi baba mungu mkuu naomba uamue dhidi ya utawala huu dhalimu unaodhulumu wahanga wa Bukoba.

Nchi imekua ya komedy kodi zinatumika kutengeneza kick na miungu watu naichukia sana serikali halafu huyu [HASHTAG]#pasco[/HASHTAG] anakuja hapa eti anatamani Magufuli aongezewe atawala miaka mingi zaidi kama umenunuliwa kaa kimya.

Huu utawala ipo siku utaondoka tu inshaallah
Natamani hata kuzungumza kwa maneno mabaya naogopa ban bt naombeni please wapinzani operesheni ya [HASHTAG]#ukuta[/HASHTAG] naombeni irudi tutawaunga mkono kwa asilimia 100.
 
ULIKUWA NA HASIRA TANGU ZAMANI HATA KABLA YA WAO KUINGIA MADARAKANI.. LAKINI NINI KILICHOTOKEA??? HII INA MAANA KWAMBA YOUR HASIRA MAKES NO DIFFERENCE.
 
mkuu, hii kitu inaweza kuwa suluhisho...haicheki na nyani...
images
 
Back
Top Bottom