Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel:
hapa jf dr sijui kama ni madr wa kienyeji. ila najua umepewa statin, na unatakiwa kunywa usiku. usipofuata masharti ya dr, utapatwa na magonjwa ya moyo. mzaa mzaa tumbua usaha.Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel:
hapa jf dr sijui kama ni madr wa kienyeji. ila najua umepewa statin, na unatakiwa kunywa usiku. usipofuata masharti ya dr, utapatwa na magonjwa ya moyo. mzaa mzaa tumbua usaha.
Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel:
Kolesteroli au Helemu ni nini?, bonyeza link ifuatayo ukajifunze kolesteroli ni nini http://maajabuyamaji.net/kolesteroli/ pia katika web hiyo hiyo utajifunza namna ya kuyatumia maji kujikinga na kujitibu cholesterol na magonjwa mengine mengi.Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel:
@Kituko Dawa ya Kuteremsha Cholesterol mwilini Fanya hivi :Yupo Mtaalamu wa Dawa za Kiasili humu JF anaitwa MziziMkavu, nadhani akiiona hii mada atakusaidia sana, dawa za hospital ni nzuri lakini zina side effect nyingi, maana unaweza ukawa unatatua tatizo la Cholestro na ukasababbisha tatizo la Figo
Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel: