Nina cheti cha ufundi (Grade One) wa umeme wa majumbani na viwandani. Natafuta kazi

Chim ney

New Member
May 24, 2022
1
0
Habari?

Naitwa Chim nina umri wa miaka 28. Elimu yangu ni Fom 4 na pia nina cheti cha Grade One ya umeme wa majumbani, viwanda na hata mashine nina uzoefu wa kutosha kwenye hii taaluma yangu.

Mkisikia kuna ajira au kibarua cha huitaji wa mafundi umeme naombeni mnijuze wakuu 0656891069.
 
Unapatikana Songea maeneo yapi?

Afu hiyo grade one kwani kuna grade ngapi za ufundi umeme?
 
Kulikuwa na grade 3 , 2 , na 1
Ila kwa sasa walishafuta huo mfumo sasahivi Wanatumia mfumo wa level 1,2,3 hadi four huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom