Nina cheti cha kilimo cha General Agriculture, natafuta kazi

Mm nikushauri anzisha bustani yako ya mbogamboga kwa kuwa we ni mtaalam wekeza ujuzi hapo ili upate mtaji ukaanze kilimo kikubwa,ningekuwa tayari nimejipanga kwenye kilimo ningekuajiri ila kwa sasa bado kuna hatua sijazifikia
Naitwa Hussein Hamis, nina cheti cha kilimo cha General Agriculture na cheti cha Bandari cha Reach Stacker operator, Natafuta kazi mimi ni Mkazi wa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo aliyesomea utabibu aende geti la hospitali akiona mgonjwa amtibu hapohapo getini bila vipimo? Wa sheria aende geti la mahakama, wildlife aende Burigi-Chato kuchunga twiga,sijui aliyemaliza JKT aende wapi.
 
Naitwa Hussein Hamis mkazi wa Mwanza nimesomea Kilimo na Bandari,nina cheti cha General Agriculture na Cheti cha Reach Stacker operator,ninatafutaa Kazi.contact 0765100352 na 0782484440
20200309_184435.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom