Butterfly J
New Member
- Jun 29, 2021
- 2
- 2
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito sana.
Pia naombeni ushauri namna ya kuwalipa hawa wafanyakazi kwa siku, biashara ni ndogo hivyo kazi yao ni kupikia nyumbani na kuuza sehemu maalum.
Je, bei zinazoleta faida mfano kwa nusu lita ya juice ni shingapi na kwa sahani ya wali na nyama au ugali na nyama nipange shingapi ili kupata faida.
Quality ya chakula watu wanaisifia, shida nifanyeje nipate faida.
Natanguliza shukrani