Nina changamoto ya kihisia Natamani nikae siku hata 3 bila kusex na mke wangu lakini giza likiingia tu namlaza chali

Sasa kumlaza chali kuna shida gani hapo mbona fresh tu,Mimi nilidhani kuna mengine labda kama ni hilo huna tatizo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom