Nina Changamoto kubwa sana wadau inanisumbua... ushauri wenu muhimu

Daah watu mnahangaika... pole sana ndg kwa hiyo vyote hivyo umevitoa usawa huu wa Jpm au labda upo vzr siwezi zungumzia mfuko wako lkn km ingekua mimi kwa utitiri huo ningewaachia mwanao. Hongera sana.
 
Aisee hiyo familia imekufanya SACCOS, familia nyingine sio za kuoa/kuolewa..

Ila wewe ndio mwenye makosa, ulitakiwa ufuate utaratibu mliokubaliana!!
 
hao wakwe ni wachaga au sio ??
umewapa ng'ombe watumie kumkamua maziwa ila wewe wamekugeuza ng'ombe wa kukamuliwa pesa
teh teh
 
Wamekugeuza mfuko wa mazoezi cha kufanya weka msimamo kama mlikubaliana kila kitu ukatoa na wakalizia,huo ni mkwara tu hawezi kukushitaki
 
Ulifanya kosa kwa kua makubaliano yalikua utume kupitia bank hapo inaonesha mama alikua anawapiga bao cha kufanya ongea na mama mkwe ndio anajua kwa nini wanasumbua
 
Njaa zinawasumbua hao.

Binafsi nakushauri kama unaweza kata mawasiliano na hapo ulipo ondoka nenda kusikojulikana.

Kama walikua serious kukushitaki basi wasingeingia agreement ya kuomba pesa.

Wanaendelea kukugeuza mradi wao wa kujipatia pesa.

Yaani najuta sana asee... Maana hata huyo mtoto wao hakuwa kwenye plan zangu kabisa asee... na nafanya hivi kwa kuwa nimemuachisha shule, shule yenyewe alikuwa karudia
 
Daah watu mnahangaika... pole sana ndg kwa hiyo vyote hivyo umevitoa usawa huu wa Jpm au labda upo vzr siwezi zungumzia mfuko wako lkn km ingekua mimi kwa utitiri huo ningewaachia mwanao. Hongera sana.
Bro ukishakuwa kwenye hayo matatizo ndio utajua hela utaitoa wapi especially familia ikiwa katili. Unajichanga tu miaka 30 ni ya kusikia tu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom