bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 452
Nawatakia weekend njema.
Njaa zinawasumbua hao.
Binafsi nakushauri kama unaweza kata mawasiliano na hapo ulipo ondoka nenda kusikojulikana.
Kama walikua serious kukushitaki basi wasingeingia agreement ya kuomba pesa.
Wanaendelea kukugeuza mradi wao wa kujipatia pesa.
Bro ukishakuwa kwenye hayo matatizo ndio utajua hela utaitoa wapi especially familia ikiwa katili. Unajichanga tu miaka 30 ni ya kusikia tuDaah watu mnahangaika... pole sana ndg kwa hiyo vyote hivyo umevitoa usawa huu wa Jpm au labda upo vzr siwezi zungumzia mfuko wako lkn km ingekua mimi kwa utitiri huo ningewaachia mwanao. Hongera sana.